The House of Favourite Newspapers

Salam SK Ataja Msanii Anayetajwa Kujitoa WCB

0

Kutoka twitter meneja wa WcB Wasafi @sallam_sk amefichua kwa mara ya kwanza kuhusu uvumi wa msanii aliyetajwa kujiengua kutoka kwenye record label hiyo kubwa nchini kuwa ni mwanamuziki #Hanstone.

 

Salam amejibu hilo kupitia ukurasa wake wa twitter mara baada ya kuibuka kwa mijadala iliyo ibuliwa na #MkubwaFella kwa kueleza kuwa kuna msanii amejitoa kwenye record label ,ambapo wengi wao walikua wakimuhusisha mwanamuziki Rayvanny.

Leave A Reply