Shamsa: Diamond Hana Kazi Mbovu

Staa wa Bongo Movies, @shamsaford ameona asibaki nyuma juu ya suala la msanii mkubwa Tanzania, @diamondplatnumz kupata nafasi ya kuwania tuzo za kimataifa za BET 2021 katika Kipengele cha Best International.

 

Kupitia ukurasa wake wa Instagram amefunguka; “Ogopa mtu ambaye hakubali kushuka, kila siku yeye ni mwanafunzi, anajifunza. Tangu wimbo wake wa kwanza mpaka leo, sijawahi kusikia wimbo wake mbaya, tofauti na wanamuziki wengine huwa wanabahatisha tu… Naseeb wewe ni mshindi tayari, kitendo tu cha kuonekana uwepo wako, hakika umeitangaza nchi yetu…ALL THE BEST BABA T @diamondplatnumz…”

CC: @sifaelpaul


Toa comment