The House of Favourite Newspapers

Simbachawene: Kitambulisho cha Nida Hakihalalishi Kuwa Raia wa Tanzania

0

Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, amesema kuwa na kitambulisho cha Utaifa (NIDA) hakuhalalishi Mtu kuwa Raia wa #Tanzania.

 

Akiwa Bungeni, Simbachawene ameeleza Uraia wa Tanzania una #Sheria ya Uraia na una mchakato wake hivyo kitambulisho cha NIDA ni kwa ajili ya kuwatambua tu Wananchi na hutolewa hata kwa Wakimbizi na Wahamiaji wakazi.

Ameongeza “Ukipata kitambulisho hiki sio mwarobaini kwamba wewe umeshamaliza sasa hutaulizwa hapana, utaulizwa na utanyang’anywa hicho kitambulisho kama tukigundua wewe sio Raia wa Tanzania”.

Leave A Reply