Simulizi Ya Binti Yamliza Lilian Mwasha-“Baba Hakutaka Nisome, Alinitolea Sime Aniue!” (Part 1&2)
Mtumishi wa Mungu na Mwandishi wa vitabu, Lilian Mwasha amepiga stori nyingi na Grace, binti wa Kitanzania aliyepitia msoto ikiwemo kunyanyaswa na baba yake mzazi na kumzuia hadi kupata elimu…..