×

Tag: ajali

Gari Laacha Njia, Laua Machinga Mwanza

  MWANAMME mmoja amefariki dunia na wengine kumi na moja kujeruhiwa baada ya kugongwa na gari lililoacha njia na kuwagonga...

READ MORE

Basi Latumbukia Kwenye Korongo, 24 Wafariki Dunia

  WATU wapatao 24 wamepoteza maisha na wengine 16 kujeruhiwa jana nchini Indonesia baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupoteza mwelekeo...

READ MORE

Mme, Mke Wafariki Wakielekea Kwenye Sikukuu

  MME na mke waliokuwa wakisafiri kwenda kula sikukuu ya Krismas wamefariki katika ajali katika daraja la Mwiwondwe barabara ya...

READ MORE

Waliofunga CCTV Camera Iliyoonesha Ajali Moshi, Wafunguka – Video

  BAADA ya watu 15 kunusurika kifo baada ya basi la abiria la Kampuni ya Harambee kufeli breki na kusababisha...

READ MORE

Basi la Abiria Lafeli Breki na Kugonga Magari 7 Moshi – Video

  WATU 15 wamenusurika kifo baada ya breki za basi la abiria la kampuni ya Harambee kushindwa kufanya kazi na...

READ MORE

Mabaki ya Ndege ya C-130 Chile Yapatikana Yakielea Kwenye Maji

MOFISA wa Chile wanasema kwamba wamezuia mabaki yanayoaminika kutoka katika ndege ya kijeshi iliotoweka siku ya Jumatatu.   Wanasema kwamba...

READ MORE

Ndege Yapotea na Watu 38

  NDEGE kubwa ya jeshi la Chile aina ya  Lockheed C-130 Hercules imepotea ikiwa na abiria 38 ilipokuwa ikielekea Antarctica....

READ MORE

Breaking News: Jengo la Ghorofa Sita Laporomoka

RIPOTI nchini Kenya zinasema kuwa jengo la ghorofa sita limeanguka asubuhi ya leo katika eneo la Embakasi jijini Nairobi, huku...

READ MORE

Ajali ya Ndege Yaua Watu 9 Marekani

WATU tisa wakiwemo watoto wawili wamefariki katika ajali ya ndege ndogo iliyotokea katika jimbo la Dakota ya kusini nchini Marekani....

READ MORE

Wanusurika Kifo, Waibiwa Baada ya Kula Biskuti Walizopewa

ABIRIA  wawili waliokuwa wanasafiri na basi la kampuni ya Buti la Zungu kutoka Dar es Salaam kuelekea mkoani Mtwara wamenusurika...

READ MORE

Ofisa Tume ya Haki za Binadamu Agongwa Bodaboda, Afariki

Ofisa wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Getrude Alex (40), amefariki dunia usiku wa Novemba 23,...

READ MORE

Waliofariki Ajali ya Ndege DRC Wafikia 24

IDADI ya watu waliofariki baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kuanguka katika mji wa Goma, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya...

READ MORE

Wanne wa Familia Moja Wafariki Moto Ukiteketeza Nyumba

WAKAZI wa Makueni, Bi Regina Mueni 49, binti yake Faith Mangeli na wajukuu zake Angel Masava na Amelina Masava wamefariki...

READ MORE

28 Wafariki Ndege Ikianguka Kwenye Makazi ya Watu

WATU ishirini na nane wamefariki mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kutokana na ajali ya ndege iliyoanguka katika...

READ MORE

AJALI: Lori la Mafuta Laua Watatu Mlimani City Dar – Video

     WATU watatu amefariki dunia na mmoja kujeruhiwa kufuatia ajali ya lori la mafuta mali ya Kampuni ya...

READ MORE

Daladala Yanguka Tandika, Abiria Wapiga Mayowe – Video

Ajali ya basi la abiria, maarufu kwa jina la Daladala, imetokea maeneo ya Davis Corner, Tandika Dar es salaam, likiwa...

READ MORE

Hospitali ya Mombasa Yateketea kwa Moto

HOSPITALI ya Mombasa nchini Kenya imeteketea kwa moto, huku wagonjwa wakiokolewa na hakuna majeruhi wowote.   Imeelezwa kwamba moto huo...

READ MORE

Dereva Mlevi Aua Wanawake Watatu

Jeshi la Polisi mkoani Arusha linamshikilia dereva wa gari ndogo aina ya Toyota Salon yenye namba za usajili T.213, Deogratius...

READ MORE

Breaking News: Basi la Abood Lapata Ajali Dar

BASI la abiria mali ya Kampuni ya Abood Bus Services Ltd, limepata ajali mbaya maeneo ya Kimara Temboji jijini Dar...

READ MORE

Mafuriko Tanga: Noah Yatumbukia Mtoni, Wanane Wafariki – Video

WATU nane wamefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumamosi, Oktoba 26, 2019 baada ya gari aina ya Noah walilokuwa wakisafiria...

READ MORE

Wakenya Wapokea Ndugu Waliokufa Ethiopian Airlines

WAKENYAwamekusanyika kupokea mabaki ya miili ya wapendwa wao waliokufa katika ajali ya ndege ya Ethiopian Airlines Familia za wahanga wa...

READ MORE

Breaking: Wawili Wajeruhiwa Lori la Soda Likigongana na Daladala

WATU wawili wamejeruhiwa vibaya baada ya kutokea ajali iliyohusisha lori lililokuwa limebeba soda, mali ya Kampuni ya Coca-Cola kugongana na...

READ MORE

Gari la Magereza Lapinduka, Mfungwa Afariki Dunia

MFUNGWA mmoja amefariki na wengine saba kujeruhiwa baada ya gari la magereza kupinduka huko Kathageri karibu na Daraja la Thuci,...

READ MORE

Moto Walipuka Kiwandani na Kuua watu 19

MOTO uliolipuka kwenye kiwanda kimoja kilichopo Mashariki mwa nchi ya China katika Jimbo la Ninghai umesababisha vifo vya watu 19....

READ MORE

Kajala acharukia madai mwanaye…

DAR : Baada ya habari kusambaa kwa kasi kama moto wa kifuu cha nazi kwamba mwanaye, Paula anajihusisha kimapenzi na...

READ MORE

GIZA AJALI ZA NDEGE BONGO

DAR: Kufuatia ajali ya ndege ndogo ya Shirika la Auric Air iliyotokea Jumatatu ya Septemba 23 na kusababisha vifo vya...

READ MORE

Askari wa JWTZ Wafariki kwa Ajali Katavi

ASKARI wawili wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) kikosi cha 24KJ Mkoani Kigoma, wamefariki dunia na wengine 20 kujeruhiwa katika ajali...

READ MORE

Wanafunzi 7 Wafariki kwa Kuangukiwa na Darasa – Video

Wanafunzi saba wamethibitishwa kufariki na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya darasa la shule yao kuporomoka leo Jumatatu Septemba 23, 2019...

READ MORE

Mwili wa Mtoto wa CDF Mabeyo Wachukuliwa kwa Maziko

MWILI  wa Nelson Mabeyo ambaye ni mtoto wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) nchini, Venance Mabeyo, aliyefariki katika ajali...

READ MORE

Mtoto wa Mkuu wa Majeshi Tanzania Afariki kwa Ajali ya Ndege

NELSON MABEYO, mtoto wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Tanzania (CDF), Jenerali Venance Mabeyo,  ni mmoja wa watu wawili...

READ MORE

Mwendesha Baiskeli Afariki Akikwepa Ndege

MWANAMME mmoja raia wa Australia amefariki dunia katika ajali ya baiskeli wakati akijaribu kukwepa ndege aina ya kwenzi aliyekuwa akipaa...

READ MORE

Biashara Ya Nyeti Bandia Gumzo Bongo – 2

Dar es Salaam: Katika uchunguzi wake wa kina wa wiki kadhaa jijini Dar, Gazeti la Ijumaa lilibaini kushamiri kwa biashara...

READ MORE

Kevin Hart Ajeruhiwa Vibaya kwa Ajali ya Gari

  Moja ya magari ya mwigizaji Kevin Hart likiwa mtaroni katika Milima ya Malibu baada ya kutoka barabarani.MWIGIZAJI Kevin Hart...

READ MORE

Miili ya Waliofarikia kwa Ajali Kibiti Kupimwa DNA

NDUGU wa karibu wa watu waliofariki kwenye ajali ya gari iliyotokea wilayani Kibiti mkoani Pwani wametakiwa kujitokeza katika Hospitali ya...

READ MORE

Moto Wateketeza Ghala la Kiwanda, RPC Anena Mazito

MOTO mkubwa ambao chanzo chake hakijajulikana, umezuka na kuteketeza moja kati ya maghala matatu ya kuhifadhia pamba katika kiwanda cha...

READ MORE

Breaking: Watano Wafariki Lori la Dangote Likiwaka Moto

WATU watano wamefariki baada ya lori la kampuni ya Dangote lililokuwa limebeba malighafi ya kutengenezea saruji likielekea Mtwara kugongana na...

READ MORE

Waliofariki Ajali Lori la Mafuta Moro Wafikia 102

IDADI ya watu waliofariki kutokana na ajali ya moto wa lori la mafuta mkoani Morogoro imefikia 102 baada ya majeruhi...

READ MORE

Daktari Bingwa Aeleza Sababu Vifo vya Majeruhi wa Moro Kufikia 100

DAKTARI bingwa wa upasuaji katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dk. Laurian Rwanyuma amesema majeruhi wa ajali ya lori la...

READ MORE

Waliofariki kwa Ajali ya Moro Wafikia 100

Majeruhi wa ajali ya lori kulipuka moto Morogoro waliofariki jana Agosti 20, 2019 ni; 1. Mazoya Sahani 2. Khasim Marjani...

READ MORE

Lori la Mafuta Lalipuka Uganda, Watu 9 Wafariki

MLIPUKO wa lori la mafuta nchini Uganda umesababisha vifo vya watu tisa na wengine kadhaa kujeruhiwa.   Tukio hilo limetokea...

READ MORE