×

Tag: ajali

Gari la Waziri Nusura Liue Mwendesha Baiskeli

MKAZI wa Kata ya Ngogwa, wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Marco Charles (48), amenusurika kifo baada ya kugongwa na gari lenye...

READ MORE

Gari la Bangi Lapinduka, Polisi Walidaka! – Video

JESHI la Polisi mkoani Pwani, linamsaka dereva aliyefahamika kwa jina la Moshi Ramadhan Malinganya, mkazi wa Kisarawe kwa tuhuma za...

READ MORE

Mara: Watano Wafariki Dereva Ajalini Akikimbia Askari

WATU watano wamefariki dunia papo hapo na wengine watatu kujeruhiwa mkoani Mara baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka Busurwa mwambao...

READ MORE

Bagamoyo: Meli ya Yawaka Moto Bandarini

 MELI mali ya kampuni ya Ocean Enterprises Limited ya Zanzibar imeungua moto wakati ikiwa imeegeshwa kwenye ufukwe ya Bahari ya...

READ MORE

Snura Apata Ajali ya Gari

MSANII wa Muziki wa Mduara Bongo, Snura Mushi amenusurika katika ajali ya gari mkoani Lindi alikokwenda kufanya shoo. Ajali hiyo...

READ MORE

Kagera: Moto Wateketeza Mabweni, Mwanafunzi Afariki Dunia

MWANAFUNZi  wa darasa la tano katika Shule ya Msingi St. Joseph Rutabo mkoani Kagera amefariki na mwingine kujeruhiwa vibaya baada...

READ MORE

Lugola Aonya Kuhusu Ajali, Ataka Wakimbizi Kurejea Kwao – Video

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amesema alilivunja Baraza la Usalama Barabarani  kutokana na baraza hilo kukosa...

READ MORE

Peter Msechu Anusurika Kifo

MSANII anayebamba na kava ya Ngoma ya Sitabaki Nilivyo iliyoimbwa na Joel Lwaga, Peter Msechu ameweka wazi kwamba amenusurika kupoteza...

READ MORE

Ambulance Yapata Ajali Likiwa Limebeba Matairi Chakavu

Gari la kubeba wagonjwa la Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu limepata ajali, huku ndani likiwa na matairi chakavu tisa. Ajali...

READ MORE

Ajari ya Gari Ndogo na Lori Yaua Watu Wawili Babati

WATU wawili wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada lori la Halmashauri ya Wilaya ya Babati Mkoani, Manyara kuligonga kwa nyuma...

READ MORE

Breaking News: Basi la Dar Express Lateketea Kwa Moto Bunju

Basi la Kampuni ya Dar Express likitokea Arusha kwenda Dar es Salaam limeteketea kwa moto usiku huu wa Jumapili, Julai...

READ MORE

Wanne Wafariki kwa Ajali Tatu Tofauti Dar

Watu wanne wamefariki dunia papo hapo katika ajali tatu tofauti zilizotokea ndani ya muda usiozidi saa mbili katika barabara ya...

READ MORE

BREAKING NEWS: Lori Lagonga Gari Tatu Mkoani Mbeya

Usiku wa leo kumetokea ajali mkoani Mbeya katika eneo la Uyole ambapo Lori limegongana na gari ya Coca na kuilalia...

READ MORE

Toyota Spacio Yapata Ajali Sinza, Dar

GARI dogo aina ya Toyota Spacio leo jioni limepata ajali baada ya kuacha barabara na kuingia mtaroni eneo la Sinza-Mori...

READ MORE

Ajali ya Lori, Hiace 3, Mbeya Dakika 20, Vifo 20

HUU ni msiba msiba mzito! Ndivyo uavyoweza kusema kufuatia ajali iliyoababisha vifo vya watu 20 ambavyo vimetokea ndani ya dakika...

READ MORE

Breaking News: Gari Lateketea kwa Moto Daraja la Kigamboni

MOTO umewaka na kuteketeza gari dogo aina ya Toyota Ractics, leo Jumatatu, Julai 2, 2018 katika Daraja la Nyerere (Kigamboni)...

READ MORE

Lori la Mafuta Laacha Njia na Kuanguka Buguruni – Pichaz

AJALI mbaya ya lori la mafuta (oil ya kuchanganyia na diesel) limeacha njia na kupinduka katika eneo la Buguruni Sheli jijini...

READ MORE

HATARI: Gari la Petroli Lalipuka Moto, Watu 10 Wapoteza Maisha – Video

Mlipuko mkubwa wa Moto umetokea katika Daraja Maarufu la Oteldola jijini Lagos nchini Nigeria jana Alhamisi, majira ya saa 1:30...

READ MORE

Wanafamilia 6 Waliokufa Ajalini Mkuranga, Wazikwa! – Video

SIMANZI imetawala katika eneo la Ngunguti wilayani Mkuranga mkoani Pwani ambako watu 10 wa familia moja ni kati ya 14...

READ MORE

JPM AWALILIA WANAFAMILIA 14 WALIOFARIKI AJALINI MKURANGA

RAIS Dkt. John Magufuli amepokea kwa mshtuko na masikitiko taarifa ya vifo vya watu 14 waliopoteza maisha baada ya basi...

READ MORE

Watu 14 Familia Moja Wafariki Ajalini Mkuranga

WATU 14 ambao ni ndugu wa familia moja waliokuwa wakielekea katika shughuli za mahafali ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), ...

READ MORE

Hali ya Mwarabu Fighter Baada ya Kupata Ajali na Kupasuka Kichwa – Video

KUFUATIA Bodigadi wa Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz, Mwarabu Fighter aliyepata ajali mbaya alfajiri ya leo katika eneo la...

READ MORE

MWARABU FIGHTER APATA AJALI, APASUKA KICHWA

BODIGADI wa Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz, Mwarabu Fighter amedai kuwa amepata ajali mbaya iliyosababisha kupasuka kichwani na kukimbizwa...

READ MORE

Basi la Msukuma Lapata Ajali Buhalahala Geita

BASI lla Msukuma ambalo linamilikiwa na Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku ‘Msukuma’, limegongana na uso kwa uso na gari...

READ MORE

Breaking News: Ajali ya Basi Yaua Wanajeshi 10 wa JKT

#BREAKINGNEWS: Basi lenye namba za usajili T 755 BAB lililokuwa likisafiri kutoka mkoani Tabora kuelekea mkoani Mbeya, limepata ajali leo...

READ MORE

Wanafunzi, Wafanyakazi UDSM Waliofariki Ajalini Waagwa – Video

Miili ya miili ya wafanyakazi na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) waliofariki kwa ajali baada ya...

READ MORE

UKWELI KUHUSU WANAFUNZI UDSM WALIOFARIKI DUNIA AJALINI

TAARIFA zinazosambaa mitandaoni zikisema mwanafunzi  wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Maria Godian Soko amefariki dunia kwa ajali...

READ MORE

AJALI YAUA DENTI MJAMZITO UDSM, DEREVA NA NESI

AJALI mbaya imetokea usiku huu wa Jumatatu, Juni 11, 2018 katika maeneo ya Ubungo Riverside jijini Dar es Salaam ambapo...

READ MORE

Mbunge Auawa Kwa Kupigwa Risasi

  Mbunge wa Manispaa ya Arua nchini Uganda,  Ibrahim Abiringa, mmoja wa waliokuwa mstari wa mbele kushinikiza mabadiliko ya Katiba...

READ MORE

Treni Yagongana na Basi, 7 Wafariki, 27 Wajeruhiwa

WATU saba wamefariki dunia na wengine 27 wamejeruhiwa vibaya baada ya basi la Kampuni ya Hamida kugonga treni ya mizigo...

READ MORE

MOTO WATEKETEZA SHULE, VYETI NA MITIHANI TABORA

MOTO mkubwa umeteketeza jengo la utawala la Shule ya Sekondari Kazima katika Manispaa ya Tabora na kusababisha uharibifu mkubwa wa...

READ MORE

BWAWA LA NYUMBA YA MUNGU LAFURIKA, SERIKALI YATOA TAARIFA

MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mughwira, ametoa taarifa ya kurufika kwa Bwawa la Mungu na kusababisha mafuriko makubwa katika...

READ MORE

Watoto Sita Wafa Katika Ajali ya Gari Tanga

WATOTO sita wamefariki dunia leo na watatu kujeruhiwa vibaya baada ya gari lililokuwa limebeba majani ya chai kutoka kijiji cha...

READ MORE

Watumishi Watatu TIC Walifariki Ajalini Chalinze, Waagwa – Video

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dkt. Charles Mwijage amewaongoza waombolezaji kuaga miili ya maofisa watatu wa Kituo cha Uwekezaji cha...

READ MORE

Kumbukumbu ya Kuzama kwa Meli ya MV Bukoba Mei 21, 1996

Meli ya MV Bukoba ikiwa Ziwa Victoria wakati ilipokuwa ikitoa huduma ya usafirishaji kabla ya kuzama. KIUKWELI tarehe kama ya...

READ MORE

Breaking: Lori la Mchanga Laparamia Bodaboda, Laua 3 – PICHA 19

WATU watatu wamefariki dunia papo hapo na wengine takribani 7 kujeruhiwa vibaya  baada ya Lori la mchanga aina ya SCANIA...

READ MORE

Maajabu ya Gari Lililotumbukia Mtoni! – Video

  AMA kweli Mungu mkubwa! Dada mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, amepata ajali kufuatia gari lake aina...

READ MORE

Watatu Wafariki kwa Ajali ya Basi Kagera

WATU watatu wamefariki dunia papo hapo na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya kugongwa na Basi la Kampuni ya Frester lenye...

READ MORE