Gwajima: Migogoro ya Ardhi Kinondoni Inachochewa na Viongozi wa Serikali
Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mchungaji Josephat Gwajima amesema migogoro ya ardhi Wilaya ya Kinondoni inachochewa na Viongozi wa Serikali.
Gwajima amesema Wilaya ya Kinondoni ndiyo…