The House of Favourite Newspapers

Gwajima Uso kwa Uso na Idriss Leo Clouds Fm

Mtangazaji wa Redio Choice FM, Idris Sultan

DAR ES SALAAM: Licha ya mbwembwe alizoonesha Mtangazaji wa Redio Choice FM, Idris Sultan katika uwanja katika wa soko la filamu Bongo , Mkali huyo wa komedi Tanzania anadaiwa kuwa mpole mbele ya Mchungaji wa kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima walipokutana na kusalimiana leo Clouds Fm.

Aidha Idris anatajwa kama msanii aliyewahi kumtania Askofu huyo lakini leo aliupokea vizuri utani wa Gwajima alipoitembea Clouds Media Group.

Ujumbe wa Idris Mtandaoni.

Salum Milongo/GPL

Comments are closed.