Bibi wa Miaka 100 Atapeliwa Ardhi, DC Awasha Moto
Bibi wa miaka 100, Jane Kibondo mkazi wa kijiji cha Kwambe kata ya Dumila amemshukuru Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Alhaj Majid Mwanga kwa kumsaidia kurejeshewa Shamba lake zaidi ya hekari 6 analodai kudhulumiwa na aliyekua mwenyekiti wa…