Muigizaji wa Filamu ya Moon Knight Aongea na Marvel Kuhusu Kurudi Kwake
MSANII wa maigizo Oscar Isaac aliyechaguliwa kufanya katika filamu ya Moon Knight msimu wake wa kwanza kwa sasa yupo katika maongezi na kampuni ya kutengeneza sinema za mashujaa kuhusu kurudi kwake kwenye filamu hio kwa msimu wa pili,…