Zaidi ya Watu 120 Wafariki kwa sababu ya joto kali Japan
Zaidi ya watu 120 wamekufa kutokana na kiharusi cha joto katika eneo la mji mkuu wa Tokyo, Julai, wakati wastani wa hali ya joto ulipofikia rekodi ya juu na tahadhari ya joto kutolewa katika sehemu kubwa ya mwezi huo, serikali ya Japani…