Mabosi wa Simba Wamjadili Shiza Ramadhan Kichuya, Baba Ampeleka Yanga
WAKATI ikitajwa kwamba mabosi wa Simba wanalijadili jina la Shiza Ramadhan Kichuya kwenye usajili wao msimu ujao, baba mzazi wa kiungo huyo, Ramadhan Kichuya amebainisha kwamba, anataka kumuona kijana wake akijiunga na Yanga SC.…
