Kikwete Afanya Mazungumzo na Waziri Mkuu wa Grenada, Jijini New York
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Elimu la Kimataifa (GPE) amekutana na kufanya mazungumzo na Dickon Mitchell, Waziri Mkuu wa Grenada, Jijini New York, Marekani.
Katika mazungumzo yao,…
