×

Tag: MASTAA WA BONGO

Mzee Majuto, Snura Anakuchafua au Unajichafua Mwenyewe?

NI ukosefu wa heshima kwa mtu yeyote wa burudani, hasa za filamu za vichekesho, kutotambua uwezo wa muigizaji huyu bora...

READ MORE

Masogange: Natamani Kuwa Mchungaji

UKITAJIWA jina la Agness Jerald na kuambiwa ni muuza nyago kwenye video za Kibongo kidogo unaweza kubishana na mimi lakini...

READ MORE

Linah: Sioni Shida Kuolewa na Muislam!

  ESTERLINA Sanga ukipenda waweza kumuita Linah au Ndege Mnana, ni mmoja wa mastaa wa Muziki wa Bongo Fleva aliyepotea...

READ MORE

Kiba Aweka Rekodi Ya Mamilioni

DAR ES SALAAM: WAKATI ukiwa na takriban siku 21 tangu kuachiwa sokoni, Wimbo wa Seduce Me wa mkali Ali Saleh...

READ MORE

Bi Cheka Aanika Mapenzi Yake Kwa Kiba

KWENYE ulimwengu wa muziki jina la Cheka Hija ‘Bi. Cheka’ siyo geni. Ni miongoni mwa wasanii waliojizolea umaarufu mkubwa kwa...

READ MORE

Pendo Aibuka, Ataja Sababu Za Kuchukia Mapenzi!

MSANII wa filamu ambaye ni zao la Shindano la Maisha Plus Season 1, Upendo Mushi ‘Pendo’, amesema kuwa, sababu zinazomfanya...

READ MORE

Farhia Middle Hoi Kwa Aslay!

MTANGAZAJI ‘bei mbaya’ wa Vituo vya ITV/ Radio One, Farhia Hussein Middle amesema kuwa, miongoni mwa wasanii wa Bongo Fleva...

READ MORE

Mr. English Kuwanoa Kingereza Mastaa

JAMES Mramba ‘Mr. English’ aliyejizolea umaarufu mkubwa kwa kuwafundisha watu mbalimbali lugha ya Kingereza, amewataka mastaa mbalimbali wafike kwenye darasa...

READ MORE

SHILOLE, UNAWATONGOZEA NINI SASA?

  SIKU zote maisha halisi huwa yapo ndani ya nyumba. Huenda wengi wetu wakawa hawaelewi, lakini ukweli ni kwamba kuna...

READ MORE

Kisa Kuchafuliwa, MR CHUZ Atoa Siku 14 Kuombwa Radhi (Video)

MKONGWE wa filamu Bongo anayewika na Tamthilia ya Closed Chapter, Tuesday Kihangala ‘Mr. Chuz’ ametoa siku 14 kuombwa radhi na...

READ MORE

Kiba Kuamsha Tigo Fiesta Arusha

MKALI wa Ngoma ya Seduce Me, Ali Kiba, anatarajiwa kuwa miongoni mwa kundi la wasanii wa muziki watakaoangusha burudani Jumamosi...

READ MORE

Q Chillah, Snura ‘live’ Tamasha la Full Dozi Dar Live

KITANUKA! WAKALI wawili wasioshikika kunako gemu ya Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Mamaa Majanga’ na Aboubakar Katwila ‘Q Chillah’ wanatarajiwa kuungana...

READ MORE

Amanda: Afunguka Bwana Kumpiga Stop Kuigiza

MREMBO mwenye shepu yake Bongo Movies, Amanda Posh amepangua uvumi uliozagaa mtaani kuwa, amezuiwa kuigiza na mchumba wake kwa kusema...

READ MORE

Odama: Kufanya Bethidei Za Mbwembwe Ni Utoto

STAA wa filamu Bongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefunguka kuwa hakuweza kufanya sherehe kubwa kwenye siku yake ya kuzaliwa kwa sababu...

READ MORE

Johari Adaiwa Kunasa Penzi Jipya

  UBUYU wa Zanzibar upo wa aina nyingi. Kuna uliotiwa hiliki, mwingine unachanganywa na mdalasini. Lakini ubuyu wa leo ni...

READ MORE

Ali Kiba Atupa Jiwe Gizani Kisa Watoto Wake

STAA anayekimbiza na Wimbo wa Seduce Me, Ali Kiba Saleh ‘King Kiba’ ametupa jiwe gizani kwa kusema, hana tabia ya...

READ MORE

Joyce Kiria Awapa Somo Wakaa Uchi Mitandaoni

KUTOKANA na matukio ya baadhi ya wanawake kujianika uchi mitandaoni kushika kasi, Mtangazaji wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria...

READ MORE

VIDEO: MSANII WA BONGO MUVI, ABAKWA DAR, AUZWA KINGONO NCHINI INDIA

  Kufuatia madai hayo, GLOBAL TV ONLINE ilimsaka msanii huyo ambapo alipopatikana alifunguka mazito yaliyomkuta maishani mwake ikiwa ni pamoja...

READ MORE

Ray C: Kwa Sasa Najisimamia Mwenyewe

MWANADADA aliyerejea vizuri kwenye Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ au Kiuno Bila Mfupa, ameibuka na kumtaka mwanamuziki mwenzake ambaye...

READ MORE

Msanii wa Bongo Muvi Auzwa Kingono Nchini India

  MSANII wa bongo Movie anayefahamika kwa jina la Suzan Michael ‘Prettykind’ aliyewahi kucheza filamu mbalimbali zikiwemo Damu Yangu, Who...

READ MORE

Mwanaheri Agandwa na Madai ya Kutapeli

MSANII wa filamu Bongo, Mwanaheri Ahmed amefungukia madai ya kutapeli watu kupitia biashara ya lipstiki zake kuwa, hakuwahi kutapeli mtu...

READ MORE

Kim Nana Afunguka Mkwanja Anaolipwa

  LICHA ya mavideo queen wengi Bongo ku’feki mkwanja wanaolipwa kwa video huku wengine wakidai hulipwa hadi milioni tano, kwa...

READ MORE

MSANII ERICOM AIACHIA DANIJAH

Mkali wa Bongo Fleva, Ericom ameiachia video yake mpya ya wimbo wa Danijah ambao ameufanyia katika Studio za AM Record...

READ MORE

JB Ajiweka Pembeni, Aanzisha Barazani Entertainment

MSANII mkongwe wa filamu nchini, Jacob Steven ‘JB’ ametangaza kujiengua katika uigizaji na sasa ameanzisha Taasisi ya Barazani Entertainment ili...

READ MORE

Muonekano Mubashara wa Vera Sindika

MWANAMITINDO Vera Sidika ameachia picha akiwa katika muonekano mpya, akiwa katika jiji la London, Uingereza.

READ MORE

Cash Money vs Young Money Muziki, Pesa, Mapenzi, Visasi

MWAKA 2002, kwenye Tamasha la Rap City jijini New York, Marekani, lilitokea tukio lililowashangaza wengi katika tasnia ya muziki baada...

READ MORE

Maua Sama: Mapenzi Yaliniponda Kama Nyanya

STAA wa Ngoma ya Mahaba Niue, Maua Sama amefunguka siri yake ya kuwa mtaalam wa kuimba nyimbo zinazohusu mapenzi kwamba...

READ MORE

Vai: Pombe Ndio Tulizo La Mawazo Yangu!

  KARIBU mpendwa msomaji wa Mpaka Home, kama ilivyo kawaida ya kila wiki, safu hii inakuletea maisha halisi wanayoishi mastaa...

READ MORE

NGWASUMA YAMTAMBULISHA RASMI PATCHO MWAMBA

Bendi ya  FM Academia ‘Wazee wa Ngawasuma‘ usiku wa kuamkia leo ilimtambulisha rasmi kwa mashabiki wake, Prezidaa wake mpya, Patcho...

READ MORE

Lucy Komba Atamani Mwanaye Angekuwa Mzungu

  MSANII wa filamu Lucy Komba amese­ma, anajivunia kuona mtoto wake anayeishi naye nchini Denmark kwa mumewe, kuweza kuongea lugha...

READ MORE

Gobal TV Online: Sasha Awahimiza Mashabiki Kutazama Mapambano ya Ngumi Leo

Mrembo wa Miss Lake Zone na Miss Mara, 2014  Sasha Kassim amewahamasisha wadau wanaotumia mitandao kusubscribe Global TV Online ili ...

READ MORE

Amber Anayesema Ninatumia Unga Anipeleke Soba

MSANII na muuza nyago kwenye video za Bongo Fleva, Lulu Augen ‘Amber Lulu’, amefunguka kuwa wanaomsema anatumia madawa ya kulevya...

READ MORE

Malaika, Kiki Zingine Zinakushushia Heshima

  Asante Mwenyezi Mungu kwa pumzi uliyonipatia siku ya leo kwa kuweza tena kupata uwezo wa kuandika Barua Nzito kwa...

READ MORE

Baby Madaha: Kutambika Muhimu

MSANII wa filamu na muziki Bongo, Baby Madaha Joseph, amekiri kuwa kila mwaka hurudi kwao Mwanza kwa ajili ya kuonana...

READ MORE

CHEMICAL: SIFAGILII MASHAROBARO, NATAKA MGUMU KAMA NAY WA MITEGO

Miongoni mwa marapa wa kike wanaofanya vizuri kwenye gemu ya Bongo Fleva, Chemical ni miongoni mwao ambapo hivi karibuni ameonekana...

READ MORE

Kukopi Na Kupesti Hakutaiacha Salama Bongo Fleva

NYIMBO nyingi za Bongo Fleva kwa sasa zinabebwa na ubora wa video ambayo msanii anai­fanya. Hapa unaweza kukuta wimbo wa...

READ MORE

Baada ya Profesa Jay Kuoa, Vipi Kuhusu Hawa ‘Wahenga’

WAHENGA ni neno maarufu kwa sasa, watu mbalimbali wanalitumia wakimaanisha mtu wa zamani ama mkongwe ambapo hata kwenye tasnia yetu...

READ MORE

Feza Kessy: Kuna media zinanibania hata ‘interview’

MSANII wa Bongo Flava na mtangazaji wa Choice FM, Feza Kessy,  amesema kutokana na kazi yake ya utangazaji kuna baadhi...

READ MORE

SHAMSA AFUNGUKIA NDOA YAKE KUTOJIBU

WAKATI ndoa yake na Rashid Said ‘Chid Mapenzi’ ikiwa na miezi kumi bila kujibu kwa kupata ujauzito, staa wa filamu...

READ MORE