Fahamu kwa Undani Tatizo la Ugumba (Infertility)
KUNA aina mbili za ugumba;
Ugumba wa asili (Primary infertility) - Hii ni pale ambapo mwanaume na mwanamke hawajawahi kutungisha mimba kabisa maishani mwao hata baada ya kujamiiana au kukutana kimwili kwa muda wa mwaka…