The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

mwakyembe

Ray Alia na Waziri Mwakyembe

  STAA wa filamu za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ amelia na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini, Dk Harrison Mwakyembe katika kusimamia Sera ya Filamu. Akizungumza na Gazeti la IJUMAA WIKIENDA, Ray amemlilia…

Mwakyembe: Nina Digrii 5 – Video

Waziri mwakyembe amefunguka kuhusu sintofahamu iliyopo kuhusiana na kauli yake kwa wasanii kusoma ambapo amewagusa waandishi wa habari na wasanii ,waziri mwakyembe pia ameongeza kuwa vijana ambao hawajasoma wanatakiwa kujijengea utamaduni…

WAZIRI MWAKYEMBE AFANYA UTEUZI

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amemteua Mhandisi Dkt. Richard Joseph kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Michezo Malya, ambapo huo umetekelezwa kwa mujibu wa sheria ya Na. 9 ya Baraza la Taifa la…