The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

mwinyi

Mwinyi Abaini Madudu Kwenye Hospitali, Atoa Miezi 3

Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amefanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya Mnazi Mmoja na kuutaka  uongozi wa hospitali hiyo  kuhakikisha watendaji wake wote wanatambulika kwa majina mara moja  ili wanaokwamisha huduma…

Rais Mwinyi Amwapisha Katibu wa Rais Zanzibar

RAIS  wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi,  amemuapisha Suleiman Ahmeid Saleh, kuwa Katibu wa Rais wa Zanzibar. Amemuapisha baada ya  kumteua Novemba 4, mwaka huu kwa mujibu wa uwezo…

AWAMU 5 ZA URAIS NA MAISHA YA WABONGO

HISTORIA ya nchi yetu imejengwa na awamu tano za urais, ukiweka kando tawala la kimila na kikoloni, awamu hizi zinaambatana na hali ya maisha ya watu yalivyokuwa. Pengine kinachotajwa kushangaza wengi ni mpangilio usio rasmi wa tabia za…