Yanga Yalamba Dili la Bilioni 12 Kutoka SportPesa, Yaweka Rekodi Mpya
KLABU ya Yanga imeingia makubaliano na Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya SportPesa wenye thamani ya Shilingi Bilioni 12.033 ambao utakuwa ni wa kipindi cha miaka mitatu (3).
Akiongea na waandishi wa habari Mwenyekiti wa…