Kauli ya Manara, Kapombe Kuelekea Fainali – Video
Kocha Msaidizi wa Simba, Masoud Djuma, amekabidhiwa majukumu yote ya Mfaransa Pierre Lechantre kwa kipindi hiki baada ya kuondoka Kenya na kuiacha timu ikijiandaa na fainali ya mashindano ya Super CUP dhidi ya Gor Mahia FC.…
