Waziri Mkuu Majaliwa Atoa Rai kwa Wasomi Waliorudi Nchini Kuripoti TCU
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasisitiza Wanafunzi waliorudi nchini kutoka masomoni nje ya nchi kutokana na vita vya Urusi na Ukraine au kutokana janga la UVIKO -19 kuripoti Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) ili waelekezwe…