The House of Favourite Newspapers

Ujumbe Maalum wa Prof Jay kwa Job Ndugai

0

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mikumi na msanii mkongwe na maarufu wa Bongo Fleva, Joseph Haule ‘Prof Jay’ ameshea video fupi ya mistari ya ngoma yake ya ‘nang’atuka’ kwenye mtandao wa Instagram ikiwa maalum kwenda kwa Job Ndugai baada ya kujiuzulu nafasi ya uspika wa Bunge.

Prof Jay ameandika kwamba “TBT ya kibabe ‘Nang’atuka’, special dedication kwa Bwana Ndugai”.

Leave A Reply