The House of Favourite Newspapers

Ushamba Party ya Konde Gang Balaa Tupu – Video

0

NI ‘updates’ za wasanii kutoka lebo ya Konde Gang Music chini ya msanii Harmonize ambapo usiku wa kuamkia leo walifanya sherehe fupi waliyoipa jina la ‘Ushamba Party’ ambayo ilifanyika kwenye makao makuu ya lebo hiyo.

Party hiyo ilifanyika kwa ajili ya kuukaribisha mwezi wa 11 na walitokelezea kwa kuvaa nguo ya ‘style’ ya kizamani ambayo kwa sasa inaonekana ya kishamba kama ukiivaa.

 

Msanii Country Boy ambaye yupo katika lebo hiyo amesema: “Ni unyamwezi na fashion flani hivi ya kizamani ila ya kishamba kwa wakati huu wa kisasa lakini inapendeza zaidi.”

Leave A Reply