The House of Favourite Newspapers

Utata! Avunjika Mguu Kimauzauza – ”Mfupa Umesimama – Maumivu Makali – Naogeshwa Kwenye Kiti”..

0


Usikose kutazama kipindi cha Kona ya Mtaa kujua mazito anayopitia Anna Peter, mama mwenye jukumu la kulea watoto wawili peke yake lakini jukumu hilo limekua zito kwake baada ya kupata ajali siku ya mwaka mpya akiwa anadeki nyumbani kwake na kuvunjika mguu.

Ajali hiyo imemfanya Anna kukaa ndani mpaka leo huku akishindwa kuwahudumia watoto wake akiwemo mtoto wake aliyehitimu darasa la saba na kuchaguliwa kwenda kidato cha kwanza kushindwa kuhudhuria shuleni mpaka sasa, anaomba msahada wa hali na mali.

Leave A Reply