The House of Favourite Newspapers

Video: Global Habari Jan 10 – Serikali Yatoa Maagizo Kwa Jamii Ya Kimasai Nchini

0

Katibu Mkuu Wizara ya Afya-Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Dkt. John Jingu ameitaka jamii ya kimasai nchini kutumia Utamaduni wao kama fursa ya kujiongezea kipato na kujimarisha kiuchumi kwa maslahi ya Taifa.

 

Dkt. Jingu ameyasema hayo alipotembelea Kikundi cha wajasiriamali Wanawake cha Ereto kilichopo Kijiji cha Minjingu Kata ya Nkait Wilayani Babati Mkoani Manyara kuona shughuli wanazozifanya ambapo amesema kuwa jamii ya kimasai imezungukwa na fursa nyingi ikiwemo Utamaduni wa Jamii hiyo ambao umekuwa ukijinadi ndani na nje ya mipaka ya nchi.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

 

Leave A Reply