The House of Favourite Newspapers

Video: Marioo Aipiga ‘Live’ Mama Amina, Atikisa Kigoma

0


MSANII anayekuja kwa kasi kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, Omary Mwanga ‘Marioo’ amefanya balaa usiku wa leo Juni 05, 2021 mkoani Kigoma kwa kupiga shoo ya nguvu kwenye Tamasha lake la Nandy Festival.

Katika tamasha hilo Nandy, amesindikizwa na wanamuziki wengine akiwemo Alikiba, Mabantu, Marioo na wengine.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply