The House of Favourite Newspapers

Video: Simba Yawasili Dar Usiku Kujiandaa Kuivaa Plateau Utd

0

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, wawakilishi wa nchi  imefanikiwa kuwasili salama jijini Dar Es Salaam majira ya saa 7 leo  za usiku leo Desemba 2 ikitokea Kilimanjaro baada ya mchezo wa Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Plateau United nchini Nigeria.

Akizungumza baada ya kutua Meneja wa wekendu hao wa Msimbazi, Abbas Suleiman Ally amesema safari yao haikuwa rahisi ila Mungu amewasaidia kutua salama na matokeo mkononi.

Leave A Reply