The House of Favourite Newspapers

Makonda, Chalamila Wapigiwa Shangwe Bungeni, Naibu Spika Akiwatambulisha Wakuu Wa Mikoa – Video

0
Wakuu wa Mikoa Tanzania Bara leo Aprili 16, 2024 wakimfuatilia Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa (Mb) akiwasilisha Bungeni Makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa mwaka wa fedha 2024/25, Bungeni jijini Dodoma.

Wakuu mbalimbali wa mikoa, wakiwemo Paul Makonda wa Arusha, Albert Chalamila wa Dar es Salaam, Antony Mtaka wa Njombe na wengine wengi, leo April 16, 2024 wametinga bungeni jijini Dodoma.

Wakuu hao wa mikoa wametambulishwa na Naibu Spika, Mussa Hassan Zungu ambapo wamepigiwa makofi kwa wingi.

TAMISEMI yaomba Tril. 10 kwa mwaka 2024/25

Leave A Reply