The House of Favourite Newspapers

‘Wamejilipua’… Vita Ya Harmo, Mondi Imenoga 2021

0

WAMEJILIPUA! Hiyo ndiyo hali halisi baina ya wasanii wawili wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Rajabu Abdul ‘Harmonize’.

 

Wakati wengi wakifurahia kuingia Mwaka Mpya wa 2021 kwa amani na utulivu, hali ni tofauti kwa mastaa hao ambao vita yao sasa imenoga ile mbaya.

 

Kwa mujibu wa mitandao ya kijamii ambayo imechafuka kwa mjadala mkali juu ya sakata hilo, chanzo cha yote ni wimbo aliouachia Harmonize au Harmo unaokwenda kwa jina la Wapo, mapema Jumatano ya wiki iliyopita.

 

SOMA HABARI HII KWENYE Gazeti la Risasi bure

SOMA BURE >> RISASI <<

AU

Bonyeza kununua >> RISASI<<

 

PAKUA GLOBAL APP SASA

 

Leave A Reply