The House of Favourite Newspapers

Wema Amuumbua Mpenzi Wake, Asema Hana Nguvu za Kiume

0

ZIKIWA zimesalia siku mbili kuifikia  Siku ya Wapendanao (Valentines Day) mwanadada  ajulikanaye kama The Tanzanian Sweetheart —  Wema Sepetu — ameshea stori yake kuhusu mpenzi wake wa zamani ambaye waliachana kwa sababu mwanaume huyo hakuwa na nguvu za kiume za kutosha.

 

Staa huyo wa filamu ameshea hilo kupitia Insta Live, baada ya mashabiki wengi kutamani kujua mahusiano yake ya sasa.

 

“Nilikuwa kwenye mahusiano na mwanamme ambaye kwenye interview zangu nilikuwa namtaja sana.  Moja ya vitu ambavyo vilitufanya tukaachana ni yeye kukosa nguvu za kiume.

 

 

“Ilikuwa mbaya sana kwangu kwa sababu kila mtu ana matamanio yake na ukiwa kwenye mapenzi kitachofanya mapenzi yenu yanoge ni tendo la ndoa,” amesema  mrembo huyo  ambaye pia aliwahi kutoka kimapenzi na mwigizaji hayati Kanumba, Diamond, Idris Sultan na Patrick ‘PCK’ kwa nyakati tofauti.

 

Leave A Reply