The House of Favourite Newspapers

Wema Azua Mjadala “Napenda Kupigwa na Boyfriend Wangu”

0

Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa muda mrefu nchini, @wemasepetu amedai aliwahi ahidiwa kutopigwa kwenye mahusiano kipindi anaanza mapenzi na mwanaume fulani ila hali ikabadilika na kiapo kikayeyuka🤪 akaanza kuchezea vitasa vya uhali gani mahabuba.👇

 

“Nakumbuka zamani wakati naanza mapenzi na mwanaume flani, alishanitamkia hajawahi na hatowahi kumpiga mwanamke… Ila kwangu bwana akagonga mwamba na hicho kiapo… Kiukweli nili enjoy sana…😂😂😂

 

Moral of the story: Kupigwa na baby wako kuna raha yake, haswa pale kwenye kubembelezana… Ila sasa sio tupigane kama wezi… Kidogo tu sio mbaya… Alafu iwe mara moja moja sio Daily… 😉😉😉

 

Sio lazima wote tufanane… Kuna wasio penda kupigwa ila as for me, kushtua shtua one tym  is very Healthy jamani..” amesema Wema.

 

Leave A Reply