Marekani Kupeleka Mabomu 1,800 Ya MK-84 Kwenda Israel
Marekani imetangaza kusafirisha mabomu 1,800 ya aina ya MK-84 kwenda Israel katika siku chache zijazo, mabomu hayo yenye uzito wa pauni 2,000 yamehifadhiwa nchini Marekani na sasa yataruhusiwa kusafirishwa kwa amri ya Ikulu ya White…