The House of Favourite Newspapers

SHIZA KICHUYA wa Kimataifa

MAISHA ya winga kipenzi cha mashabiki wa Simba, Shiza Kichuya yanakwenda kubadilika kwa kiasi kikubwa. Alianza mwaka akiumiza kichwa kujua hatma yake ndani ya kikosi cha kwanza cha Simba lakini ghafla dodo likamwangukia na amekuwa wa…

Senzo Atwishwa Zigo la Kichuya

BODI ya Wakurugenzi ya Simba SC inakutana kwa haraka kujadili adhabu ya faini ya Sh 294 milioni ambazo Shirikisho la Soka Duniani (Fifa) kupitia kitengo cha usuluhishi cha migogoro ya soka imetaka kulipa kwa kukiuka taratibu za…

Kichuya Aahidi Balaa Namungo

Mshambuliaji mpya wa Namungo FC, Shiza Kichuya anasema bado ana matumaini ya kurejea kwenye kiwango cha juu kama ilivyokuwa zamani. Kichuya amejiunga kwa mkataba wa miaka miwili kwenye kikosi hicho chenye maskani yake…

Kichuya Atibua Hali ya Hewa Simba

SHIZA Kichuya mzee wa kona bao, ametibua hali ya hewa Simba kutokana na uwezo anaozidi kuonyesha kwenye mazoezi ya timu yake hiyo kiasi cha kuwatisha wachezaji wengine wanaocheza nafasi kama yake. Kichuya amejiunga na Simba kwenye…

Kichuya Asajiliwa Tena Simba

Simba SC imesajili tena Mchezaji Shiza Kichuya ambaye awali klabu hiyo ilimuuza kwenda klabu ya Pharco FC ya Misri. Kichuya alivyokuwa Pharco FC alitolewa kwa mkopo kwenda Enppi FC - Mkataba wake na Simba haujawekwa wazi ni wa muda…

Kichuya Mambo Magumu Misri

TANGU kipenzi cha mashabiki wa Simba, Shiza Kichuya atue kwenye ardhi ya Misri hajawahi kushangilia ushindi na timu yake ya ENPPI. Tena mbaya zaidi ipo nafasi ya mwisho kabisa kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Misri. Kichuya…

Msuva Ampa Neno Kichuya Misri

WINGA wa Klabu ya Difaa El Jadid ya Morocco, Simon Msuva, amemwambia kiungo mpya wa ENPPI ya Misri, Shiza Kichuya kuwa anatakiwa kupambana kwelikweli na kutokubali tena kurudi kucheza soka Tanzania. Hivi karibuni Kichuya alikamilisha…

Ā Mzungu amfungukia Kichuya

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji Patrick Aussems, amefunguka kuwa kitendo cha Shiza Kichuya kutoanza kwenye michezo iliyopita si tatizo, bali ameamua kufanya hivyo ili kuona viwango vya waachezaji wake wengine. Mchezo uliopita wa…

Kichuya Atoa Tamko Zito Simba

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Shiza Kichuya amewaambia mashabiki kwamba mechi ya Jumapili dhidi ya Stand United ni muhimu kuliko hata zote walizocheza tangu msimu uanze. Mechi hiyo itapigwa kwenye Uwanja wa Taifa huku mashabiki bado…

Kichuya Aahidi Mabao Zaidi Simba

AKIFUNGA bao lake la kwanza katika msimu huu wa Ligi Kuu Bara, kiungo mshambuliaji wa Simba, Shiza Kichuya ameibuka na kutamba kuwa huo ni mwanzo, bado ataendelea kufumania nyavu. Kauli hiyo ameitoa ikiwa ni saa chache tangu mchezo wao…