The House of Favourite Newspapers

Diamond, Belle9 Wambeba Saida Kalori

Na HAMIDA HASSAN| GAZETI LA IJUMAA| SHOWBIZ WASANII wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Abednego Damian ‘Belle9’ wamembeba msanii mwenzao anayeimba nyimbo za asili, Saida Kalori kwa kushiriki katika albamu yake…

Chegge: Sitamsahau Masogange

MKALI wa Ngoma ya Kaitaba, Said Juma ‘Chegge Chigunda’ amesema miongoni mwa vitu ambavyo hatakuja kuvisahau maishani mwake ni pamoja na msiba wa video vixen, Agnes Gerald ‘Masogange’ uliotokea Ijumaa iliopita. Chege…

Lulu Diva: Sijaumia Belle 9 Kuoa

MSANII anayefanya poa kwenye ulimwengu wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ ambaye kipindi cha nyuma aliwahi kuweka wazi hisia zake kwamba anamzimikia msanii mwenzake, Abednego Damian ‘Belle 9’ ambaye amefunga ndoa ya siri siku chache…

Wakali Hawa ‘Wamebuma’ 2017

MWAKA unazidi kuyoyoma, kwenye upande wa burudani hasa Tasnia ya Muziki, mbali na wanamuziki wenyewe kutathimini nini wamefanya kwa mwaka huu, wadau wa tasnia hiyo hatuwezi kuonekana tumetenda kosa la jinai kupitia nini ambacho…

Y Tony ‘Ashaini’ Trace TV

Na MWANDISHI WETU| GAZETI LA IJUMAA| MAKALA KWA mara ya kwanza tangu aanze muziki, staa wa Bongo Fleva, Elly Michael ‘Y Tony’ ameweza kushaini katika TV kubwa ya Ufaransa, Trace Urban baada ya video ya wimbo wake wa Wivu kuanza…

Ma Modo 10 Waliosumbua 2016

Hamisa Mobeto Na Mwandishi Wetu|Gazeti la Ijumaa Kwenye ulimwengu wa burudani, wapo wadada wanaofahamika kwa jina la Video Queen. Kwa hapa Bongo wapo kibao lakini katika kufunga mwaka IJUMAA linakuletea mamodo 10 waliokuwa gumzo kwa…

Belle 9 ajuta kujichanganya viwanja

STAA wa Bongo Fleva, Abednego Damian ‘Belle9’. Imelda Mtema STAA wa Bongo Fleva, Abednego Damian ‘Belle9’ kwa mara ya kwanza amefunguka kuwa anajuta kitendo cha kutojichanganya viwanja kipindi cha nyuma kwani alikuwa akikosa mengi ya…

Belle 9 kuja na mkwaju mpya

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Abednego Damian ‘Belle 9’ LICHA ya Ngoma yake ya Shauri Zao kutamba katika vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini, msanii wa muziki wa kizazi kipya, Abednego Damian ‘Belle 9’ yupo mbioni kutoa wimbo…