The House of Favourite Newspapers

Pichaz: Funga Mwaka Ilivyonoga Escape One

funga-mwaka-escape-one-2

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Hapi ambaye alikuwa Mgeni Rasmi kwenye shughuli hiyo akihojiwa na wanahabari kabla ya kuingia ndani ya ukumbi wa Escape One.funga-mwaka-escape-one-3

Msanii Bushoke akitumbuiza jukwaani, mwanzoni kulia ni msanii mwenzake Barnaba na wa pili kushoto ni Maua Sama.

funga-mwaka-escape-one-1

Bushoke akijinadifunga-mwaka-escape-one-4

Maua Sama na Bushoke wakiimba jukwaani.funga-mwaka-escape-one-5

Barnaba akikamua.funga-mwaka-escape-one-6

Wadau waliohudhuria kwenye shoo hiyo.
funga-mwaka-escape-one-8

funga-mwaka-escape-one-7Ally Hapi akirasimisha shughuli hiyo. 

funga-mwaka-escape-one-9

Full vicheko.funga-mwaka-escape-one-10

Anton akisherehesha shoo hiyo.

funga-mwaka-escape-one-11

Sebastian Ndege (kushoto) akimjaza minoti, Ditto

 

DAR ES SALAAM: Ukurasa wa shoo za kuufunga mwaka wa 2016, ulifunguliwa rasmi usiku wa kuamkia leo, ambapo wasanii kibao waliweza kuunganisha nguvu zao kwa pamoja na kuwatumbuiza laivu mashabiki wao katika Ufukwe za Escape One uliyopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.

Katika shoo hiyo Msanii Bushoke alikuwa wa kwanza kutoa burudani kisha kufuatiwa na Maua Sama, Barnaba, Belle9, Ditto, Mwasiti, Nandy, Hamadai na Nuh Mziwanda.

Shoo hiyo ilifunguliwa rasmi na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mheshimiwa Ally Hapi ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye shuguli hiyo.

PCHA ZOTE NA MUSA MATEJA/GPL

BELLE9 KIBOKO, CHEKI ALIVYOIMBA NYIMBO YAKE MPYA YA GIVE IT TO ME, SHOW YA FUNGA MWAKA ESCAPE ONE

FUNGA MWAKA: MAUA SAMA KAMA BEYONCE

Comments are closed.