Rais Samia Ahudhuria hafla ya The Citizen Rising Woman, Asema Alitaka Kuwa Muhudumu Wa Ndege –…
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema wakati anasoma sekondari ndoto yake ilikuwa ni kuwa mhudumu wa ndege kwa kuwa alivutiwa na wafanyakazi Shirika la Ndege la DRC wanavyovaa.
Rais Samia ameyasema hayo Ijumaa, Machi 8, 2024…