The House of Favourite Newspapers

MASTAA MMEMSIKIA MZEE WA UPAKO?

KATIKA moja ya mafundisho yake kanisani kwake, Ubungo-Kibangu jijini Dar, siku chache kabla ya kuingia Mwaka Mpya wa 2019, mchungaji Lusekelo Anthony ‘Mzee wa Upako’ alitumia dakika zaidi ya kumi kueleza kile alichokiita ni…

Mzee wa Upako Amvaa Lowassa

upakoStori: Na Mwandishi, Wikienda DAR ES SALAAM: Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ ame­tumia ibada aliyoifanya kanisani kwake, Ubungo-Kibangu jijini Dar jana, kumvaa aliyekuwa Waziri Mkuu na Mgombea…

WACHUNGAJI MATAJIRI BONGO HAWA HAPA

WATUMishi wa Mungu wakiwemo maaskofu, manabii, wachungaji na walimu wa neno la Mungu wapo vizuri na lile neno wanalolihubiri kwamba, kwa Mungu kuna raha. Kwa Mungu kuna maisha mazuri na mtu akiyataka ampokee Mungu awe Bwana na mwokozi…