The House of Favourite Newspapers

Kifo cha Akwilina; CHADEMA Wamtaka Mwigulu Ajiuzulu – (Video)

Mbunge wa Jimbo la Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, akizungumza na waandishi wa habari leo.

…Akisikiliza kwa makini maswali yaliyokuwa yakiulizwa na waandishi wa habari (hawapo pichani).

 

CHAMA  cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, kujiuzulu kufuatia tukio la kuuawa kwa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini aliyepigwa risasi wakati polisi wakiwatawanya waandamanaji wa Chadema

 

Akizungumza na waandishi wa habari, Mbunge wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, amedai kuna milolongo mingi na historia ndefu ya kumhusisha Waziri Nchemba na ambayo yamekuwa yakitokea nchini.

 

Picha na Denis Mtima

 

SHUHUDIA VIDEO YA TUKIO HILO

Comments are closed.