Browsing Category
Biashara
Serikali yasisitiza kampuni za madini kutoa fursa za ajira, zabuni kwa Watanzania
NA MWANDISHI WETU, MOROGORO
NAIBU Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye Ulemavu, Patrobas Katambi ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kutoa fursa za ajira kwa Watanzania zaidi ya…
Zigo la Disemba Shinda na Shinda Tena, Pikipiki 5 Kushindaniwa, Tecno Camon 19 na Spark 9 Kutolewa…
JE UNAUONAJE msimu wa sikukuu za Chrismas na Mwaka Mpya? Umeshajua ni zawadi gani utampa umpendae au kujizawadia mwenyewe kwa kuumaliza Mwaka 2022 ukiwa salama, basi ukiwa unatafakari naomba nikusogezee habari nyeti kutoka Kampuni ya simu…
UNCDF na Infinix Tanzania Zahamasisha Ukuaji wa Fintech ili Kukuza Ukuaji wa Mfumo wa Ikolojia wa…
DESEMBA 5, 2022 Infinix chapa bora ya Smart phone iliyoanzishwa mwaka wa 2013 kwa kujitolea kujenga teknolojia ya kisasa iliyosanifiwa kwa umakini zaidi na vifaa mahiri vilivyoundwa ili kuleta matumizi bora ya simu mahiri. Tarehe 2 Disemba…
Benki ya Exim Yakamilisha Umiliki wa Benki ya FNB, Yawapokea Wateja Wapya
Dar es Salaam: Julai 17, 2022: Benki ya Exim Tanzania imetangaza rasmi kuinunua iliyokuwa Benki ya FNB Tanzania ikiwa ni muendelezo wa mkakati wa benki hiyo kujitanua zaidi ndani na nje ya mipaka ya nchi. Hii ikiwa ni chini ya…
‘Airport’ ya Istanbul Ndo Kiwanja Kikubwa Zaidi Duniani
UWANJA mpya wa ndege wa Instanbul nchini Uturuki, umezinduliwa rasmi Jumatatu wiki hii, lakini hautafanya kazi kikamilifu hadi mwishoni mwa mwaka huu. Kwa nini kuzinduliwa kwake kumeharakishwa hivyo?
Ni kwa vile Jumatatu,…
Fahamu Kuhusu Uandishi wa Habari za Fedha Tanzania
TAASISI ya Bloomberg Media Initiative Africa (BMIA) imetangaza kuanza kwa awamu ya pili ya programu ya mafunzo ya uandishi wa habari za masuala ya fedha (FJT) kwa waandishi nchini Tanzania. Mafunzo hayo yamelenga kuwawezesha jumla ya…
Huawei, TTCL Zasaini Makubaliano Kuboresha Teknolojia ya Mawasiliano
Kampuni ya Mawasiliano ya TTCL na Kampuni ya Teknolojia ya Huawei, wametia saini hati ya Makubaliano ya ushirikiano wa kiutendaji utakaoziwezesha pande hizo kushirikiana katika kuboresha teknolojia ya mawasiliano nchini ikiwemo…
Serikali yafuta Tozo ya Mafuta
WIZARA ya Nishati nchini imefikia uamuzi wa kuondoa tozo ya Tsh 100 kwa kila lita ya Dizeli, Petroli na mafuta ya taa.
Tozo hiyo ilipaswa kulipwa na watumiaji wa mafuta nchini humo kuanzia mwezi Machi mpaka Mei, mwaka huu huku taifa…
GGML wamwaga Sh milioni 90 mkutano wa madini
KAMPUNI ya uchimbaji wa madini ya dhahabu mkoani Geita (GGML) imetoa msaada wa Sh milioni 90 kudhamini Mkutano wa nne wa Uwekezaji wa Madini na Madini mwaka huu unaofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkutano huo wa kimataifa wa uwekezaji…
Exim yakabidhi Vanguard kwa mshindi wa ‘Weka Mkwanja tukutoe!’
Dar es Salaam: Februari 15, 2022: Benki ya Exim imekabidhi gari aina ya Toyota Vanguard kwa taasisi ya Work of Mary (Focolare Movement Tanzania) ya mkoani Iringa iliyoibuka mshindi wa zawadi kubwa ya promosheni ya “Weka Mkwanja…
Facebook, Insgram Kuondolewa Ulaya
IKIWA ni siku chache baada ya kutangazwa kushuka kwa mapatao yake, wiki hii kuna mvutano mkubwa unaendelea kati ya kampuni ya Meta (Facebook) na Umoja wa Nchi za Ulaya.
Sheria mpya ya Umoja wa Ulaya (GDPR Data Rules),…
Benki Ya Exim Yatangaza Mshindi Promosheni Ya “Weka Mkwanja Tukutoe!”
Dar es Salaam: 26 Januari 2021: Benki ya Exim Tanzania imetangaza washindi wa promosheni yake inayojulikana kama “Weka Mkwanja tukutoe!” ambapo taasisi ya Work of Mary (Focolare Movement Tanzania) ya mkoani Iringa iliibuka mshindi wa…
Mabasi Bila Dereva Kuanza Kufanya Kazi
NCHI ya Norway imesema inajiandaa kuanza majaribio ya mabasi ya abiria (ya umma) ambayo hayana dereva, kuanzia mweiz Aprili, mwaka huu.
Mabasi hayo ya umeme ambayo yametengenezwa na Kampuni ya nchini Uturuki ya Karsan yana…
NBC Yahitimisha Kampeni ya ‘Vuna Zaidi Na NBC Shambani’
Dar es Salaam: January 11, 2021: BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imeendesha droo yake ya mwisho ya kampeni ya ‘Vuna Zaidi na NBC Shambani’ huku ikijivunia kuhitimisha kampeni hiyo kwa mafanikio makubwa ikiwemo kuongeza asilimia 40 ya…
Balsingh Bosi Mpya Airtel
KAMPUNI ya Airtel Tanzania Plc imetangaza mabadiliko katika timu yake ya uongozi kwa kumteua Dinesh Balsingh kuwa Mkurugenzi Mkuu Mteule wa Airtel Tanzania Plc, kufuatia kujiuzulu kwa George Mathen. Taarifa iliyotolewa Jumatano na…
BMW Wazindua Gari Inayoweza Kujibadilisha Rangi
Kampuni ya BMW imezindua na kulionyesha gari la kwanza Duniani aina ya BMW iX Flow SUV lenye uwezo wa kubadilika rangi, likitumia teknolojia iitwayo E Ink ama ‘Wino wakielektroniki’.
Hii ni gari itakayompa uwezo mmiliki…
Benki ya CRDB Yazindua Kampeni Ya ‘Unachostahili’ Kwa Kishindo
Benki ya CRDB imewataka Watanzania kutumia huduma na bidhaa bunifu zinazotolewa na benki hiyo kwa makundi mbalimbali ya wateja kufanikisha malengo waliyojiwekea katika mwaka mpya wa 2022.
Hayo yamesemwa wakati wa uzinduzi…
Gari Linalotumia Umeme Pekee Lazinduliwa
Kampuni ya kuunda magari kutoka nchini Ujerumani ya Mercedes – Benz, imezindua gari jipya linalotumia nishati ya umeme peke yake lililopewa jina la EQXX, ambapo gari hilo lina uwezo wa kutembea umbali wa maili 620, baada ya kuongezewa…
Serikali Yatangaza Kushuka kwa Bei za Mafuta
Mamlaka ya Huduma za Udhibiti wa Nishati na Maji (EURA) imetangaza kushuka kwa bei za mafuta kwa mwezi Januari 2022 ikilinganishwa na bei za Desema 2021.
Kwa mujibu wa EWURA, bei za Januari 2022 zitapungua kwa kati ya shilingi 4 na…
Apple Yaibuka Kinara Soko la Hisa Duniani
Kampuni kubwa ya kiteknolojia ya Marekani Apple imekuwa kampuni ya kwanza kupata hesabu ya soko la hisa ya $3tn (£2.2tn).
Bei ya hisa za kampuni hiyi ilipanda kwa karibu asilimia The firm's share price has 5,800 tangu…
TECNO Yaanika Washindi wa “Vibe la Krismasi, TECNO Yatosha”
Wakati tulipokuwa kuikaribisha sikukuu za mwisho wa mwaka, hapa namaanisha Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya, Kampuni ya simu janja zinazopendwa zaidi Afrika Mashariki, TECNO ilitangaza washindi wa zawadi mbalimbali za promotion yao…
Exim ‘Weka Mkwanja Tukutoe’ Yazidi Kupepea
Dar es Salaam; January 3, 2022: Benki ya Exim imetangaza washindi wa droo ya pili ya kampeni ya ‘Weka Mkwanja Tukutoe! ’inayoendeshwa na benki hiyo ikilenga kuhamasisha watanzania kujiwekea amana huku wakipata fursa za kunyakua zawadi…
Burji al Arab Ndio Hoteli Bora Zaidi Duniani
Bila shaka umesikia sana kuhusu hoteli zenye hadhi ya nyota tano katika majiji makubwa duniani kama London nchini Uingereza, Paris nchini Ufaransa, Las Vegas na New York nchini Marekani pamoja na maeneo mengine ya kifahari kama katika…
TikTok Yaibuka Kinara kwa Watumiaji Wengi
Mtandao huo wa kushirikisha video unatembelewa zaidi kuliko Injini ya utaftaji ya Marekani, kulingana na Cloudflare, kampuni ya usalama IT.
Viwango hivyo vinaonyesha kuwa TikTok iliiondoa Google katika nafasi ya kwanza mnamo…
NEEC Yaitunuku GGML Tuzo ya Mwekezaji Bora kwa Watanzania
BARAZA la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) limeitunuku Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) tuzo maalumu ya mwekezaji bora anayeshirikisha kikamilifu Watanzania katika miradi ya kimkakati na uwekezaji (Local…
Ellon Musk Kulipa Kodi Tril 25
Mwanzilishi na mmiliki wa makampuni mbalimbambali ikiwemo, kampuni ya kutengeneza magari ya umeme ya Tesla Inc, Elon Musk amesema kupitia Twitter kwamba atalipa zaidi ya dola bilioni 11 (Tsh. Trilioni 25) za ushuru mwaka huu.
…
NBC Yaja na Mikopo ya Matrekta, Zana za Kilimo kwa Wakulima
KATIKA kuiwezesha sekta ya kilimo kupiga hatua nchini Benki ya Taifa ya Biashara imesaini mkataba na Kampuni ya usambazaji wa zana za kilimo – ETC Agro Tractors & Implements Ltd wenye lengo la kuwakopesha wakulima matrekta pamoja na…
“Vibe la Christmas, Tecno Yatosha” Yazinduliwa Rasmi
Habari njema imeanikwa kwa Watanzania na zaidi sana kwa wale watumiaji simu janja, Kampuni TECNO imewaletea wateja wake na wananchi wote promosheni baab'kubwa iliyopewa jina la “VIBE LA CHRISTMAS, TECNO YATOSHA” ambayo imezinduliwa…
Simbachawene Aipongeza LSF Kuzindua Mpango Mkakati Mpya 2022/2026
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema Mpango wa Miaka mitano wa Shirika la Huduma za Msaada wa Kisheria (LSF) utasaidia upatikanaji wa haki nchini na kuweka mazingira bora kwa wanawake kuchangia katika shughuli…
Ofa Kabambe za Kwenda Dubai Kuelekea Msimu wa Sikukuu
Katika msimu huu wa mwisho wa mwaka, kampuni mahiri ya usafirishaji wa abiria ya AL KHALEEJ TOURS AND TRAVEL, inatoa ofa kabambe kwa abiria watakaosafiri na kampuni hiyo!
Unachotakiwa kufanya, kata tiketi ya ndege kupitia…
NBC Yamwaga Zawadi Washindi wa ‘Vuna Zaidi Na NBC Shambani’
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Dastan Kyobya ameiomba Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kuangalia uwezekano wa kuongeza zaidi matawi yake katika mikoa ya Mtwara na Lindi ili kuwafikia zaidi wakulima wa korosho wa mikoa hiyo ambao kwasasa…
TIRA, BOT Wavutiwa na Huduma Mpya ya Bima Benki ya Exim
Dar es Salaam; Novemba 08, 2021: Mamlaka ya Usimamizi wa Shughuli za Bima Nchini (TIRA) pamoja na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zimeunga mkono ushirikiano unaoshuhudiwa hivi sasa baina ya taasisi za kifedha pamoja na makampuni ya bima…
Benki ya Exim Yaandaa Chakula cha Jioni kwa Wateja Wake Iringa
Iringa; Oktoba 11, 2021: Benki ya Exim Tanzania, mwishoni mwa wiki iliandaa hafla ya chakula maalum kwa ajili ya wateja wake mkoani Iringa ili kutoa wasaa wa kujadili fursa za kibiashara, mipango ya ukuaji na huduma zitolewazo na benki…
Benki ya Exim Yaadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja
Dar es Salaam: October 6th, 2021: Benki ya Exim Tanzania imeungana na watoa huduma ulimwenguni kote kusherehekea wiki ya Huduma kwa Wateja huku ikiahidi kutoa huduma bora zaidi kwa wateja wake ili kuongeza ustawi wao sambamba na…
Kampeni ya ‘Vuna zaidi na NBC Shambani’ Yatua kwa Walima Korosho
Changamoto ya huduma za kifedha iliyokuwa ikiwakabili wakulima wa korosho mikoa ya Mtwara na Lindi ikiwemo kutopata mikopo kwa wakati na makato ya fedha zao wanapofanya miamala ya kibenki, imetajiwa kuwa miongoni mwa sababu kubwa…
TRA Yazindua Mnada wa Forodha kwa Njia ya Mtandao – Video
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imezindua mnada wa forodha kwa njia ya mtandao ambapo sasa minada yote ya TRA, itakuwa ikifanyika kwa njia ya mtandao tofauti na ilivyokuwa ikifanyika awali kwa njia za kawaida.
Kwa mujibu…
Benki ya NBC Ilala Yawafunfa Wajasiriamali
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, jijini Dar es Salaam hii leo wameendesha mafunzo ya biashara, elimu ya fedha na mikopo kwa vikundi vya wajasiriamali vijana, wanawake na walemavu…
Maonesho ya TANTRADE za Kutikisa Desemba Hii
Aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dr. John Pombe Magufuli pamoja na serikali yake, alihimiza kuwepo kwa uchumi wa viwanda huku hamasa zaidi ikitolewa kwa wazawa kujenga viwanda hivyo nchini!
Lengo kubwa la mpango huo…
Fahamu Simu 10 Zinzoongoza kwa Kununuliwa Afrika
HAIWEZI kuwa vigumu kufahamu ni chapa (brand) ipi ya simu ambayo inauza zaidi duniani. Vyanzo tofauti tofauti vinasema chapa za kampuni ya Apple (iPhone) ndio bado zinaongoza katika uuzaji wa simu duniani kote ikifuatiwa na Samsung.…
Haya Ndio Magari 12 Yonayoshauriwa Kutumika Kifamilia
Sio kila gari imetengenezwa Kwa matumizi ya Kifamilia, na linapokuja suala la kutafuta gari kwajili ya familia inabidi mtafutaji awe sahihi katika uchaguzi ili apate gari itakayo endana na mahitaji ya Familia yake Kwa wakati husika.…