×

Breaking News

China: Wanafunzi wa Tanzania Waomba Warudishwe Nchini

BAADHI  ya Watanzania waishio China wameomba kurudishwa nyumbani wakisema tatizo si kukosa nauli ila wamezuiwa kutoka ili kudhibiti #CoronaVirus na...

READ MORE

JPM Amfuta Kazi Aliyechana Quran – Video

RAIS  John  Magufuli amemfukuza kazi kijana aliyechana kitabu kitakatifu cha Quran mkoani Morogoro, Daniel Maleki,  na amemuagiza Waziri was Tamisemi,...

READ MORE

Membe Aitwa CCM Kuhojiwa: ‘Nitahudhuria Mapema Bila Kukosa’

  KUPITIA ukurasa wa mtandao wa kijamii wa Twitter, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe,  amesema ameitwa jijini...

READ MORE

Steve Nyerere Atema Nyongo ‘Msigwa Mpuuzi, Atuombe Radhi’ – Video

Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa jana alisimama bungeni jana na kumtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangalla...

READ MORE

Wanafunzi 14 Wafariki kwa Kukanyagana

WANAFUNZI  14 wa shule ya msingi Kakamega nchini Kenya wamefariki baada ya kupata taharuki na kukanyagana shuleni.   Mkuu wa...

READ MORE

Breaking News: Rais Mstaafu Moi Afariki Dunia

RAIS Mstaafu wa Kenya, Daniel arap Moi, amefariki dunia akiwa na miaka 95, rais Uhuru Kenyatta athibitisha. “Kwa masikitiko makubwa...

READ MORE

Bad News: Askari Watatu Wafariki kwa Kugongwa na Basi

POLISI watatu mkoani Njombe wanasadikiwa kuwa wamefariki dunia baada ya ajali iliyohusisha basi la kampuni ya Shalomu na gari la...

READ MORE

Mwamposa Akamatwa na Jeshi la Polisi Dar -Video

 UPDATES: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia mhubiri Boniface Mwamposa. Akitoa taarifa kwa waandishi wa Habari...

READ MORE

Video: Mafuta Ya Mwamposa ‘Yaua’ Watu 20 Moshi, Shuhuda Asimulia

WATU 20 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa kwa kukanyagana katika harakati za kutaka kukanyaga mafuta ya upako kwenye kongamano la...

READ MORE

Naibu Waziri Masauni Naye Ahojiwa na TAKUKURU

  NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni,  amefika ofisi za makao makuu ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana...

READ MORE

Ramadhan Kailima Awasili TAKUKURU Kuhojiwa

NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani, Ramadhan Kailima,  amewasili  makao makuu ya Taasisi ya Kupambana na Kupiga Vita...

READ MORE

Jenerali Kingu Naye Awasili TAKUKURU Kuhojiwa – Video

ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Balozi Mteule, Meja Jenerali Jacob Kingu,  naye amefika katika ofisi za...

READ MORE

Breaking News: Lugola Awasili TAKUKURU Kuhojiwa

ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amefika ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...

READ MORE

Breaking: Kobe Bryant Afariki Katika Ajali Ya Helikopta – Video

MCHEZAJI maarufu wa mpira wa kikapu kwenye Ligi ya NBA ya Marekani, Kobe Bryant (41),  amefariki katika ajali ya helikopta...

READ MORE

Tanzia: Mama Salma Kikwete Afiwa na Mama Yake Mzazi

  MAMA mzazi wa mama Salma Kikwete amefariki dunia leo Ijumaa, Januari 24, 2020, baada ya kuugua kwa muda. Taarifa...

READ MORE

JPM Amkabidhi Simbachawene Mikoba ya Lugola, Zungu Aula – Video

Rais Dkt. John Magufuli leo Januari 23, 2020 amemteuwa Mbunge wa Ilala Dar es salaam, Mussa Azzan Zungu kuwa Waziri...

READ MORE

Kashfa ya Trilioni 1, JPM Amng’oa Waziri Lugola – Video

KASHFA ya mkataba wa kifisadi iliyomkumba Kangi Lugola, imesababisha kujiuzulu kwenye nafasi ya uwaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi....

READ MORE

Breaking: Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani Ajiuzulu – Video

RAIS  John  Magufuli  amesema Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu, amemwandikia barua ya kujiuzulu nafasi...

READ MORE

Tanzia: Baba wa Mabeste Afariki Dunia

MSANII wa Bongo Flava, William Ngowi, maarufu kwa jina la ‘Mabeste‘ amepata pigo baada ya kuondokewa na baba yake mkubwa...

READ MORE

Zitto Apigwa ‘Stop’ Kigoma

POLISI mkoani Kigoma imezuia mkutano wa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo,...

READ MORE

Breaking News: Mbunge wa Newala Vijijini Afariki Gesti

MBUNGE  wa Newala Vijijini (CCM), Rashidi Ajali Ahkbar,  amefariki dunia leo Januari 15, 2020,  katika Gesti ya Mingoyo iliyopo eneo...

READ MORE

Nyoka wa Maonyesho Aua Mtu Katavi

JAMES PASCHAL, mkazi wa Mtaa wa Kilimani Kata ya Nsemulwa Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, ambaye ni mtaalam wa sanaa...

READ MORE

Maalim Seif Aitwa Polisi

JESHI la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba visiwani Zanzibar limemtaka Mshauri mkuu wa Chama cha ACT- Wazalendo, Maalim Seif Sharif...

READ MORE

Meya Dar Akubali Yaishe, Afuta Kesi Mahakamani – Video

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeifuta kwa gharama kesi ya Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita,  ya...

READ MORE

Breaking: Ajali ya Basi, Gari Dogo, Pikipiki Yaua Wawili Shinyanga

WATU wawili wamefariki dunia na wengine saba wamejeruhiwa katika ajali iliyotokea mapema leo Jumatatu, Januari 13, 2020, asubuhi mkoani Shinyanga, ikihusisha...

READ MORE

Rais Moi wa Kenya Yupo ICU

RAIS mstaafu wa Kenya, Daniel Arap Moi, mwenye umri wa miaka 95,  yuko katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu...

READ MORE

Meya Dar Akuta Tukio Kwenye Mlango wa Ofisi Yake

IKIWA zimepita siku kadhaa baada ya Baraza Kuu la Madiwani Dar es Salaam kufanya mkutano na kumvua wadhifa wake, Meya...

READ MORE

Mahakama ya Kisutu Yatupilia Mbali Ombi la Meya Mwita

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali maombi ya aliyekuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita...

READ MORE

Kidato cha 4 Anywa Sumu Baada ya Kupata Division Four

MWANAFUNZI Michael Aloni (20) Mkazi wa Kijiji Cha Ihanda mkoani Songwe amenusulika kifo baada ya kunywa sumu kufuatia kupata matokeo...

READ MORE

Breaking: Matokeo Darasa la Nne Yatangazwa, Yasome Hapa

BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA) nchini Tanzania limetangaza matokeo ya mtihani wa upimaji darasa la nne, kidato cha pili...

READ MORE

Matokeo Kidato cha Nne, cha Pili & Darasa la Nne 2019

Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) leo Alhamisi, Januari 9, 2020 limetangaza matokeo ya mtihani wa upimaji darasa la nne,...

READ MORE

Moto Wateketeza Matanki ya Mafuta ya Lake Oil Kigamboni – Video

Moto mkubwa umezuka usiku wa leo Jumatano Januari 8, 2020 katika hifadhi ya mafuta inayomilikiwa na kampuni ya Lake Oil...

READ MORE

Gari Dogo Lagonga Treni Vingunguti

Gari Dogo limeigonga Garimoshi lililokuwa linatoka Dar es Salaam kuelekea Mpanda, Kigoma, Mwanza na Tabora.   Ajali hiyo imetokea leo...

READ MORE

Breaking: Bob Wine Akamatwa Tena

MBUNGE wa Kyadondo nchini Uganda, Robert Kyagulani, maarufu Bobi Wine, leo Januari 6, 2020, Jeshi la Polisi nchini humo limemkamata...

READ MORE

Tanzia: Staa Bongo Movie Afariki Dunia

TASNIA ya Filamu Tanzania ‘Bongo Movies‘ imepata pigo baada ya kuondokewa na msanii mwenzao, aitwaye Diana Choudry Nsumba ambaye amefariki...

READ MORE

JPM Atishia Kuwatumbua Kigwangalla na Katibu Mkuu Wake

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametoa siku tano kwa Waziri wa Maliasili na Utalii...

READ MORE

Video: Zitto Aibua Mazito ‘Wametekwa, Wamepigwa, Wamepata Ulemavu’

  KIONGOZI wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe,  amelaani vitendo vya utekaji na kuwatesa baadhi wananchi akidai kuwa ni...

READ MORE

6 Wafariki Lori na Basi Yakigongana Dodoma – Video

WATU sita wamefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa baada ya lori na basi dogo la abiria kugongana jana Jumapili, majira...

READ MORE

Breaking: Uwanja Wa Sokoine Wafungiwa, Mechi Ya Yanga Yaahirishwa

Mchezo wa Yanga dhidi ya Tanzania Prisons wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliokuwa uchezwe kesho tarehe 27/12 kutokana na Uwanja...

READ MORE

Amuua Shemeji Yake kwa Kumpiga Kofi Kwenye Makalio

  POLISI katika eneo la Suna Magharibi, Kaunti ya Migori nchini Kenya wanamsaka mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Eunice...

READ MORE