×

Celebrities

Sikiliza Karata Tatu Kutoka Kwa Ibraah wa Harmonize – Audio

MWANAMUZIKI wa Bongo fleva, Ibraah, aliyepo chini ya lebo ya Konde Music Word Wide, ametimiza ahadi yake ya kuachia Karata...

READ MORE

Mondi Akataa Msamaha wa Harmo!

TAARIFA ya moto ikufikie kwamba, ule msamaha wa msanii wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ kwenda kwa baba yake aliyemlea...

READ MORE

Cardi B Amuwashia Moto Bosi WWE

MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Mieleka ya WWE, Vince Macmahon, amejikuta akiwashiwa moto mtandaoni na rapa Cardi B, akidai kutumika...

READ MORE

Dr. Dre Kulipa Bilioni 4 Za Matumizi Kwa Mkewe

GODFATHER wa Muziki wa Rap nchini Marekani ambaye ni mtayarishaji nguli wa muziki, Dr Dre amekubali kumlipa aliyekuwa mkewe Nicole...

READ MORE

Harmonize azidi kujiweka kwa kajala!

  KITENDO cha mkali wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ au Harmo kuendelea kumpostiposti muigizaji Kajala Masanja kimeonesha jinsi gani...

READ MORE

Esma Yamkuta Ya Darleen

WASWAHILI wanasema kuimba ni kupokezana! Baada ya hivi karibuni msanii wa Bongo Fleva na memba wa Lebo ya Wasafi Classic...

READ MORE

Kitambi Cha Mondi Chawaacha Hoi Wananzengo

Heheheh hivi karibuni video ya staa wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’ ilivuja mitandaoni huku ikimuonyesha kuwa na kitambi kikubwa...

READ MORE

Nana Amchinjia Baharini Ibrah

 Video vixen na muigizaji wa tamthilia Bongo, Nabila Othman ‘Nanah’ amekanusha skendo za kutoka kimapenzi na msanii wa Lebo ya...

READ MORE

Chuchu, Ray Ndo Basi Tena!

MSANII wa filamu za Kibongo, Chuchu Hans amesema kuzaa na msanii mwenzake Vincent Kigosi ‘Ray’ isiwe tabu na kuanza kumjulisha...

READ MORE

Harmonize Azidi Kujiweka Kwa Kajala!

KITENDO cha mkali wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ au Harmo kuendelea kumpostiposti muigizaji Kajala Masanja kimeonesha jinsi gani muigizaji...

READ MORE

Darassa Avunja, Ukimya Aibuka Upya – Video

  RAPA maarufu Bongo, Darassa, amesema watu wengi walikuwa wakim-dis kwamba yupo kimya kwa sababu zao binafsi lakini ukweli ni...

READ MORE

DStv Yatambulisha Tamthilia Mpya za Bongo

Mambo ni bandika – bandua, paukwa – pakawa ndani ya chaneli maarufu ya Maisha Magic Bongo (MMB) ambapo imetangaza rasmi...

READ MORE

Huyu Ndiye Mwanamke Anayemnyima Idris Usingizi

NI mshindi wa Big Brother Africa mwaka 2014. Ni mchekeshaji. Ni mtangazaji. Ni mshereheshaji (MC). Huyu si mwingine ni Idriss...

READ MORE

Mzee Chilo Aanika Sababu ya Vijana Kuwabwaga Wakongwe

MWIGIZAJI mkongwe kwenye tasnia ya Bongo Movies, Ahmed Ulotu almaarufu Mzee Chilo amefunguka sababu ya chipukizi kuwabwaga mastaa wakubwa kwenye...

READ MORE

Wanaume Wamfanyia Mbaya Wasatara

MWIGIZAJI wa kitambo kwenye Bongo Movies, Wastara Juma amekiri wanaume kumfanyia mbaya. Wastara anasema kuwa, wanaume wengi wanapenda kumuumiza kutokana...

READ MORE

Makubwa! Eti Zari Amweka Mama D Kiganjani

SUPASTAA wa muziki nchini Tanzania, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anaringa mwenyewe na watoto wake wane aliozaa na wanawake watatu tofauti...

READ MORE

Zuchu Aanza Maajabu Yake!

  MAPEMA tu, ameanza maajabu yake! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mrembo anayefanya muziki wa Bongo Fleva, Zuhura Othman ‘Zuchu’ kuanza...

READ MORE

Dr Dre Atoka ICU, Mke Atajwa Chanzo cha Ugonjwa

MTAYARISHAJI wa muziki wa Marekani na rapa wa miondoko ya Hip Hop, Andre Romelle  Young, maarufu kama ‘Dr. Dre’, ameruhusiwa...

READ MORE

Kiba Aanika Ukweli Kuachamuziki

BAADA ya maneno mengi kusambaa mitandaoni kuwa Mfalme wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ yupo mbioni kuacha muziki,...

READ MORE

Ndoa ya Kim na Kanye Chali, Wapeana Talaka Tatu!

NDOA ya mastaa wakubwa duniani, rapa Kanye West na mwanamitindo Kim Kardashian imefikia mwisho ambapo wawili hao wameripotiwa kuachana baada...

READ MORE

Nicki Minaj Matatani kwa Kuiba Wimbo

MWANAMUZIKI Mmarekani, Nicki Minaj, ameripotiwa kushtakiwa na rapa aitwaye Brinx Billions kwa tuhuma za kuiba wimbo “Rich Sex” aliomshirikisha Lil...

READ MORE

Gigy Money Afungiwa na BASATA

Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), limemfungia miezi 6, Msanii Gigy Money kujihusisha na sanaa ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

Kajala Atoa Msimamo Kuolewa Tena!

  KAJALA Masanja wengi wao wanapenda kumuita ‘ ‘Kay’ wengine wanamuita boss lady, amewakata kilimilimi baadhi ya watu wanaosema kuwa...

READ MORE

Diamond, Alikiba Wakutana Sound City

Moja ya majarida makubwa katika bara la Afrika na duniani kote Soundy City ambalo makao makuu yake yapo Marekani ingawa...

READ MORE

Hamisi wa BSS: Harmonize Nisamehe, Nilidhani Nimetoboa

STORI zinazozungumza sana kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu aliyekuwa mshiriki wa Mashindano ya Kusaka Vipaji maarufu kama...

READ MORE

Dully Sykes Afunga Mjadala wa Ndoa

MWANAMUZIKI mkongwe kwenye gemu la Bongo Fleva, Abdul Sykes ‘Dullysykes’ amefunguka sababu ya kuwa bachela na kuufunga mjadala kuhusu suala...

READ MORE

Chuchu Awaponda Mastaa Wanaozindua Miradi Feki

MSANII wa filamu za Kibongo, Chuchu Hans amewaponda mastaa wenzake wanaozindua miradi mbalimbali ikiwemo maduka na saluni wakijifanya miradi yao...

READ MORE

Rosa Ree Hataki Mazoea Na Wanawake!

RAPA Rasary Robert ‘Rosa Ree’ amefunguka kuwa kitu ambacho kitamfanya agombane na mpenzi wake ni kuwa na mazoea na wanawake....

READ MORE

Papii Kocha Amshangaa Koffi!

MWANAMUZIKI wa dansi nchini, Johnson Nguza maarufu Papii Kocha amesema amemshangaa mkongwe wa dansi kutoka Congo DR, Koffie Olomide katika...

READ MORE

Gabo: Wanafiki Wanasaidia

  MSANII wa Bongo Muvi, Salim Ahmed ‘Gabo’ amesema kuwa kwenye maisha yake hapendi kabisa marafiki wanaong’ata na kupuliza. Akizungumza...

READ MORE

Baba D Amponza Mama Mondi!

DHORUBA ya msanii Nasibu Abdul ‘Diamond’ au Mondi kumbania matunzo baba yake mzazi mzee Abdul Juma, haijatulia, Risasi limebaini.  ...

READ MORE

‘Wamejilipua’… Vita Ya Harmo, Mondi Imenoga 2021

WAMEJILIPUA! Hiyo ndiyo hali halisi baina ya wasanii wawili wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Rajabu Abdul ‘Harmonize’....

READ MORE

Harmonize Akutana na Anjella, Wazama Kufanya Yao! – Video

MWANAMUZIKI Harmonize, amekutana na binti Anjella, ambaye ana kipaji cha kuimba na pia ni mlemavu wa miguu.   Harmonize alipomuona...

READ MORE

Esma Afunguka Skendo Ya Kuchoropoa Mimba

ESMA Khan, dada wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ naye ni maarufu. Umaarufu wake ulitokana na jina...

READ MORE

Hawa Jamaa Watasumbua Kinoma 2021

Wakati tumeuanza Mwaka wa 2021 leo, kuna mambo ya kuyatazama kwa kina kwenye gemu la Bongo Fleva. Kubali au ukatae,...

READ MORE

Exclusive: Makala Banda; Humwambii Kitu Kwa Kiba, Roma

  MSAKATA kabumbu wa kimataifa wa Tanzania, Abdi Banda aliyekuwa anaichezea Highlands Park inayoshiriki Ligi Kuu ya nchini Afrika Kusini...

READ MORE

Esma, Queen Darleen Kama Zamani

DAR: Zile taarifa zilizosambaa hivi karibuni mitandoani kuwa ndugu wawili wanaounganishwa na nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’...

READ MORE

Mondi Ataka Watoto 100

DAR: Kwenye vitabu vitakatifu imeandikwa kwamba Mungu aliwaagiza wanadamu wakaijaze dunia na hilo ndilo tamanio la staa mkubwa wa muziki...

READ MORE

Ukweli Vanessa Kubeba Mimba

DAR: Sexy lady kunako Bongo Flevani, Mariane Mdee almaarufu Mimi Mars, kwa mara nyingine amejitokeza na kutupilia mbali tetesi na...

READ MORE