×

Championi

Gabon Wamtaka Aubameyang Aondoke Arsenal

RAIS wa Shirikisho la Soka la Gabon (Fegafoot), Pierre Alain Mounguengui, amemshauri straika Pierre- Emerick Aubameyang kujiunga na timu yenye...

READ MORE

Scholes Anavyomfagilia Fernandes

GWIJI wa Manchester United, Paul Scholes, amesifu mchango ulioletwa na Bruno Fernandes klabuni hapo, akisema raia huyo wa Ureno amekuja...

READ MORE

Chirwa, Sure Boy Kuwekwa Karantini Azam

UONGOZI wa Azam umesema kuwa unatarajia kuwaweka wachezaji wake karantini ya siku 14 wakiwemo kiungo mshambuliaji, Salum Abubakar ‘Sure Boy’...

READ MORE

Makambo Apewa Mtihani Mzito Yanga

WAKATI uongozi wa Yanga ukidaiwa kumalizana na aliyekuwa mshambuliaji wa timu hiyo msimu uliopita wa 2018/19, Mkongomani, Heritier Makambo, tayari...

READ MORE

C.E.O Simba: Ligi Ifutwe? Ni Mapema Mno

OFISA Mtendaji Mkuu wa Simba (C.E.O), Senzo Mazingisa, amesema kuwa ni mapema sana kufanya mgawanyiko juu ya ligi ifutwe ama...

READ MORE

Corona: Himid Afikisha Siku ya 26 Karantini

HIMID Mao, nahodha msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania, anayekipiga ndani ya Klabu ya ENPPI ya nchini Misri, jana...

READ MORE

Makapu: Eymael Amenifanya Niwe Katili Uwanjani

BEKI wa Yanga, Said Juma Makapu, amesema kuwa kocha Luc Eymael amekuwa akimpatia mbinu zinazomfanya awe katili uwanjani na kucheza...

READ MORE

Wadau wa Championi Waendeleza Mzuka wa Kusepa na Ndinga – Video

VIJANA wa siku hizi wanasema, mambo ni yente kila kona ya nchi kufuatia kushika kasi kwa promosheni namba moja kwa...

READ MORE

Penzi la Rotimi, Vanessa Ni Habari Nyingine

KAMA ulikuwa unategemea itafika siku utaona kapo ya wasanii, Rotimi na Vanessa ikivunjika basi fahamu ya kuwa wapenzi hao wameapa...

READ MORE

Mbelgiji Akabidhi Faili La Usajili

WAKATI ligi ikiwa imesimama kutokana na Virusi vya Corona, Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, amekabidhi faili la usajili wa...

READ MORE

Kagere, Chama Wazua Balaa Simba SC

BALAA kubwa huenda likawakumba baadhi ya wachezaji wa kimataifa wa Simba kutokana na kudaiwa kukiuka taratibu za klabu hiyo. Wachezaji...

READ MORE

Makapu: Nitaondoka Yanga

BEKI wa kati wa Yanga, Said Makapu, amefunguka kuwa amepanga kuondoka kwenye timu hiyo iwapo atapata nafasi ya kwenda kucheza...

READ MORE

Rasmi Wachezaji Yanga Wapigwa ‘Stop’

HUKU wachezaji wa Yanga wakiwa majumbani kwao imebainika kuwa daktari wa timu hiyo, Sheikh Mngazija, amewapangia wachezaji hao vyakula maalumu...

READ MORE

Kisa Mo, Orlando Yapandisha Bei ya Mzambia

Orlando Pirates ya Afrika Kusini ni kama wameichungulia Simba, kisha wakagundua kuwa timu hiyo ina fedha nyingi, hiyo ni kutokana...

READ MORE

Meneja Afunguka Lusajo kutua Yanga

MENEJA wa mshambuliaji Reliant Lusajo wa klabu ya soka ya Namungo, Ahmad Kassim ‘Prezdaa’, amesema kuwa wapo tayari kufanya kazi...

READ MORE

Morrison Kumrudisha Chirwa Yanga SC

WAKATI michuano ya Ligi Kuu Bara ikiwa imesimama kwa muda kutokana na ugonjwa wa Corona, mshambuliaji wa kimataifa wa Azam...

READ MORE

Kisa Simba, Mabosi Yanga Wamuwekea Ulinzi Mkali Fei Toto

WAKATI uongozi wa Yanga kwa kushirikiana na wadhamini wao, Kampuni ya GSM, wakiendelea kuboresha mikataba inayoelekea ukingoni kwa nyota waliopendekezwa...

READ MORE

Morrison: Nafunga Kwanza Kisha Shoo

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mghana Bernard Morrison, amefunguka kuwa mpango ambao anakuja nao kwa sasa ni kuhakikisha timu hiyo inafunga...

READ MORE

Yanga Ilivyoizidi Ujanja Simba kwa Morrison

MASHABIKI wa Yanga hivi sasa watakuwa wanapumua, ni baada ya wadhamini wao GSM kufanikisha jaribio la kiungo mshambuliaji Mghana Bernard...

READ MORE

 Sven Afunika Makocha Wote Ligi Kuu

SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba, amekiongoza kikosi hicho kwenye jumla ya mechi 18 tu, lakini amewafunika makocha wote walioviongoza...

READ MORE

Chama Agomea Mkataba Simba, Arudi Zambia

KIMENUKA! Ndivyo utakavyoweza kusema, ni baada ya kiungo mchezeshaji fundi wa Simba, Mzambia, Clatous Chama, kugoma kuongeza mkataba mpya wa...

READ MORE

Kagere Aifanyia Yanga Kitu Mbaya

LICHA ya Ligi Kuu Bara kusimama kwa muda kutokana na ugonjwa wa Corona, mshambuliaji wa Simba, Mnyarwanda, Meddie Kagere, amefanikiwa...

READ MORE

Simba Yamkomalia Mzambia wa Orlando Pirates

KAMA ulikuwa unachukulia ni utani Simba kumuhitaji Bernard Morrison wa Yanga, basi sikia hii, unaambiwa uongozi wa Simba ulikuwa na...

READ MORE

Simba, TP Mazembe Zamgombea Deo Kanda

VITA ni kali kati ya Klabu za Simba na TP MAzembe ya DR Congo ambapo kila moja inataka kumchukua mshambuliaji...

READ MORE

Kocha Avunja Kambi Yanga, Ampa Program Maalum Morrison

UONGOZI wa Yanga rasmi umevunja kambi na kuwaruhusu wachezaji kurudi nyumbani kwao baada ya serikali kusitisha shughuli zote za michezo...

READ MORE

Buguruni Waapa Kuchomoka na Ndinga ya Championi, Spoti Xtra

  WASOMAJI wa magazeti ya michezo maeneo ya Buguruni jijini Dar es Salaam, leo Alhamisi, Machi 19, 2020, wamemiminika kama...

READ MORE

Tambwe Alilia Kusajiliwa Yanga SC

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe, amefunguka kuwa bado ana uwezo mkubwa wa kufunga mabao, hivyo uongozi wa...

READ MORE

Mchakato Aussems Kurudi Simba Uko Hivi

KOCHA wa zamani wa Simba, Patrick Aussems, ameweka wazi kuwa hawezi kurejea kuifundisha timu hiyo katika hali yoyote ili kuhakikisha...

READ MORE

Guardiola Aishangaa Man U

KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola, ameishangaa Manchester United kwa kuwa nyuma mno kiviwango dhidi ya City na kwamba hakutarajia...

READ MORE

Luis, Chama Wapewa Onyo Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck, ametoa onyo kwa wachezaji wote wa timu hiyo akiwemo Luis Miquissone na Clatous...

READ MORE

Msolla Ashusha Presha, Atoa Kauli ya Kutisha Yanga

MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga, Dr Mshindo Msolla amewaambia mashabiki wa timu hiyo ‘Msiogope, Mnyama anakufa mapema tu, huku akiwataka...

READ MORE

Kuiona Yanga vs Simba Buku Saba Tu – Video

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), kupitia kwa ofisa habari wake, Cliford Ndimbo, limetangaza viingilio vya mchezo wa Ligi Kuu Bari...

READ MORE

Championi, Spoti Xtra Baba Lao, Ndinga Mpya Gumzo Kila Kona!

BAHATI nasibu ya Chomoka na Gari Mpya iliyoanzishwa na Kampuni ya Global Publishers kupitia magazeti yake ya michezo ya Championi...

READ MORE

Kisa Simba, Yanga SC Wambananisha Morrison

MABOSI wa Kampuni ya GSM ni kama wameshtukia kitu vile kutoka kwa watani wao wa jadi, Simba, ni baada ya...

READ MORE

Bilioni 1.8 zamwagwa usajili Yanga

YANGA imeweka rekodi kwenye msimu huu wa Ligi Kuu Bara katika usajili, ikisajili wachezaji 20 katika madirisha mawili ya usajili huku watani wao...

READ MORE

Bocco: Huyu Luis ni Balaa Lingine

NAHODHA wa Simba, John Bocco, amefunguka uwezo unaoonyeshwa na kiungo mpya wa timu hiyo, Luis Miquissone, raia wa Msumbiji, haupaswi...

READ MORE

Dakika 593 za Bocco Zampagawisha Kocha

NAHODHA wa Simba, John Bocco ‘Papaa’, amempagawisha kocha mkuu wa timu hiyo, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck, baada ya kukichafua katika Ligi...

READ MORE

Yondani, Tariq waandaliwa kuwaua Mbeya City

KOCHA wa Yanga Luc Eymael amesema kuwa atafanya mabadiliko ya kikosi chake katika mchezo wa leo Jumanne pindi watakaposhuka dimbani...

READ MORE

Nchimbi apewa kazi maalum Yanga SC

BADAA ya Ditram Nchimbi kutoa pasi mbili za mabao katika michezo miwili mfululizo akitokea pembeni, Kocha Mkuu wa Yanga, Luc...

READ MORE

Kisa Kipigo, Sven Awatupia Lawama Mastaa Simba SC

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji Sven Vandenbroeck, amesema timu yake ina wachezaji wengi wenye uwezo mkubwa wa kucheza dhidi ya...

READ MORE