×

Global TV Online

Wosia wa Hamad: Baba Yangu Alinitenga, Mali Apewe Mke Wangu – Video

IKIWA ni takribani siku moja tangu kijana aliyekuwa akiishi kwa msaada wa mashine ya kupumulia Awadhi Hamad afariki dunia katika...

READ MORE

Menina Asimulia Kuhusu Video Yake ya Ngono – Video

HATIMAYE muigizaji, MC na mwanamuziki, Menina Abdulkharim, amefika katika ofisi za Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuitikia wito wa...

READ MORE

Watoto wa Bilionea Msuya Wamlilia JPM, Kupata Mali za Baba Yao – Video

WATOTO watatu wa marehemu bilionea, Erasto Msuya, aliyeuawa kwa kupigwa risasi, mwaka 2013, wamemuomba Rais John Magufuli, kuwasaidia kuokoa mali...

READ MORE

JPM Aamsha Balaa kwa Mkurugenzi Nachingwea – Video

RAIS John  Magufuli ameendelea na ziara yake mkoani Lindi ambapo leo Jumatano, Oktoba 16, 2019, amefika katika Wilaya ya Nachingwea...

READ MORE

Makonda Amtaka Mkandarasi Akabidhi Jengo la Hospitali – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda leo Oktoba 16 ametembelea na kukagua ujenzi wa jengo la ghorofa...

READ MORE

JPM Azindua Ujenzi wa Barabara, Ghala Ruangwa – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumann, Oktoba 15, 2019 amezindua Barabara ya...

READ MORE

JPM Ataja Sababu za Kumchagua Majaliwa – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumatatu, Oktoba 15, 2019 amezungumza na Wananchi...

READ MORE

Jafo Atangaza Mikoa Inayoongoza Kuandikisha Wapiga Kura – Video

Waziri wa TAMISEMI Jafo, amesema Mkoa unaongoza kwenye uandikishaji kwenye daftari la mpiga kura kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa...

READ MORE

JPM Afanya Maamuzi Mazito kwa Nape – Video

Rais Dkt. John Magufuli ameagiza Halmashauri ya Lindi Vijijini kuitwa Halmashauri ya Mtama na ihamishiwe eneo la Mtama (ambalo ni...

READ MORE

JPM Azikumbuka Bakora 24 Nyerere – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli amehudhuria maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa...

READ MORE

Simulizi Wazee Waliohukumiwa Kunyongwa Inasikitisha!

NJOMBE: Simulizi ya wazee watatu, Yohana Chengula (71), Aloyce Mwalongo (80) na Raphael Mlyuka (75), wakazi mjini Njombe, Tanzania ambao...

READ MORE

Mfanyakazi Exim Mbaroni kwa Kuiibia Benki Hiyo Mil. 120 – Video

JESHI la Polisi Mkoani Dodoma linamshikilia mtunza Fedha wa Bank ya Exim Martin Lazaro Temu (33), kwa tuhuma za wizi...

READ MORE

JPM Achangia Mil. 6 Sekondari Ya Wasichana Mpanda – Video

RAIS John Magufuli leo,  Ijumaa, Oktoba 11, 2019, akiendelea na ziara yake mkoani Katavi ametoa shilingi milioni sita kwa Shule...

READ MORE

Lissu Amaliza Matibabu, Asitisha Kurejea Tanzania – Video

ALIYEKUWA Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA) na Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu, ambaye alinusurika kuuawa miaka...

READ MORE

JPM Ashuhudia Viboko Hifadhi ya Katavi – Video

RAIS  John Magufuli ameonyesha kwa vitendo maana ya utalii wa ndani kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Katavi. Amtembelea hifadhi...

READ MORE

Global Muvi: Balaa! Kaka Amtia Mimba Dada’ke

 JE, una habari ungependa wana You Tube waijue? Tutumie au tupigie WhatsApp No: +255 657 955825, +255 676 229628...

READ MORE

Rais Magufuli Azindua Barabara ya Sumbawanga – Chala

 Rais Dk. John Magufuli leo, Jumanne, Oktoba 8, 2019 anatarajia kuzindua barabara ya lami ya kilomita 76 kutoka Sumbawanga...

READ MORE

JPM Awaka: Wanaume wa Rukwa Msiwape Mimba Watoto – Video

Rais Dk. John Magufuli, leo Oktoba 7, 2019 amezindua Mradi wa Huduma za Maji Safi na Usafi wa Mazingira uliopo...

READ MORE

Video: Waziri Mkuu Akasirishwa Ujenzi Wa Kituo Wilayani Iramba

 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hajaridhishwa na ujenzi wa kituo cha afya cha Ndago, wilayani Iramba mkoani Singida kwa...

READ MORE