×

Global TV Online

Machinga Makoroboi Kimeuma, Polisi Watimua Mbio – Video

WAFANYABIASHARA wadogo (Machinga) zaidi ya 5,000 waliopo katika eneo la Makoroboi jijini Mwanza licha ya kutii agizo la Mkuu wa...

READ MORE

Rais Samia Anashiriki Kilele Cha Umoja Wa Wanawake Tanzania (Uwt)-Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia katika Maadhimisho ya Kilele cha Wiki ya Umoja...

READ MORE

Mtanzania Azunguka Afrika Kwa Baiskeli Akitangaza Lugha Ya Kiswahili-Video

Global TV imefanya mahojiano na mtanzania anayezunguka na baiskeli katika nchi kadhaa Afrika akihamasisha watu kutumia lugha ya Kiswahili. 

READ MORE

Meja Kunta Afunguka Matambiko Kwenye Muziki, “Ni Muhimu Lazima Tufanye”-Video

GLOBAL TV imepiga stori na mwanamuziki Meja Kunta kuhusiana na kazi zake za muziki baada ya kukaa kimya kwa muda...

READ MORE

Meya Jiji La Arusha Kujenga Makazi Ya Kisasa Ya Watoto Wa Mtaani-Video

Mstahiki Meya wa jiji la Arusha, Majimiliani Iranqe, ameanza kutekeleza adhima yake ya kuwajengea makazi Watoto wa Mtaani waliopo katika...

READ MORE

Rais Ndayishimiye Azindua Kiwanda cha Mbolea Dodoma

RAIS wa Burundi, Evarist Ndayishimiye, leo Oktoba 22, amewasili nchini na kupokelewa jijini Dodoma… 

READ MORE

Rais Samia Anahutubia Mbele Ya Rais Wa Burundi, Evarist Ndayishimiye-Video

RAIS wa Burundi, Evarist Ndayishimiye, leo Oktoba 22, amewasili nchini na kupokelewa jijini Dodoma. 

READ MORE

Rais Ndayishimiye wa Burundi Awasili Dodoma-Video

Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye akiwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma, ambapo amepokelewa na Waziri wa...

READ MORE

Siri Ya Utata Tuzo Za TFF | Simba Yapigwa Fitna Kimataifa-Video

KARIBU katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi.. 

READ MORE

Utingo Malori ya Dangote Auawa kwa Kupigwa na Sungusungu – Video

  Utingo wa malori ya Kiwanda cha Saruji cha Dangote, Imani Abdallah Mnyoge mwenye umri wa miaka 31, mkazi wa...

READ MORE

Uamuzi Kesi Ya Mbowe, Wachambuzi Wachambua Udhaifu|Heche Amlipua Dkt.Slaa-Video

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Rais Wa Wanaume Wanaopigwa Aibuka, “Nimepigwa, Nimenyimwa Unyumba”-Video

Global Tv ilimtembelea bwana Ernest Komba a.k.a Rais wa wanaume wanaopigwa na wake zao majumbani, Kigamboni Chama jijini Dar es...

READ MORE

Simba Yatamba Kutinga Makundi Caf, Nabi Aitisha Azam Ligi Kuu Bara-Video

KARIBU katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi.. 

READ MORE

Video: Wazee Arusha Wamlilia Rais Samia Walipwe Madai Yao Mil 100

 Baadhi ya wakulima Wilayani Arumeru mkoani Arusha Wakiwemo, Inko Andrea Manga, Kashengena Msuya Abdi na George Macha, Wamemuomba Rais...

READ MORE

Mavunde Awataka Wakazi Wa Dodoma Kuacha Mazoea Na Kilimo-Video

Mbunge wa Dodoma Mjini Anthon Mavunde Amewataka Wakazi Wa Mkoa Wa Dodoma Kuacha Kilimo Cha Mazao Ya Chakula Na Kujikita...

READ MORE

Hukumu Ya Mbowe Yakwaa Kigingi, |Wamachinga Na Sura Tata-Video

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Wamachinga Wanafunguka, Vurugu Zilizotokea Jana-Video

BAADA ya jana kutokea vurugu Kariakoo zilizohusisha wamachinga ambao wanatakiwa kuhama kwenye maeneo wanayofanyia biashara kwa sasa na kwenda maeneo...

READ MORE

Yanga Yaanza Hesabu Za Ubingwa Mapema, Gomes Aiandalia Dozi Nzito Galaxy-Video

KARIBU katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi.. 

READ MORE

Ndugu Wa Mtanzania Aliyeuawa Kwa Risasi Marekani, Wamwaga Machozi-Video

Kijana wa Kitanzania aliyekuwa akiishi nchini Marekani na wazazi wake, Humphrey Magwira amepigwa risasi na kuuawa katika eneo la Fort...

READ MORE

Hukumu Kesi Ya Mbowe Leo, Sabaya Naye Kutinga Mahakamani Tena|Ukweli Vurugu Machinga-Video

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Taarifa Za Kushtua Kuhusu Airport Chato Kupasuka Eneo La Kurukia Ndege-Video

Baada ya kusambaa kwa Picha Mitandao ya kijamii zikionesha Mipasuko Kwenye barabara Ya Kuruka Na kutua Ndege Kwenye Uwanja wa...

READ MORE

Mahakama Yamuachia Huru Mwendesha Mashtaka Wa Serikali-Video

Aliyekuwa mwendesha mashitaka mkuu wa serikali mkoa wa Manyara Mutalemwa Kishenyi ameshinda kesi namba 24 ,2021 ambapo alikuwa ametuhumiwa kupokea...

READ MORE

IGP Sirro Azungumza Kwa Mara Ya Kwanza Baada Ya Kukabidhi Uenyekiti Wa ‘Eapcco’-Video

MKUU wa jeshi la polisi nchini, Simon Sirro, leo Oktoba 18, amezungumza kwa mara ya kwanza baada ya kukabidhi kijiti...

READ MORE

Live: Rais Samia Anazindua Kiwanda Cha Nyama Longido

RAIS Samia Suluhu Hassan anazindua mradi wa maji, kiwanda cha nyama na kuzungumza na wananchi   

READ MORE

Samia Apindua Meza Kambi ya CHADEMA, Bananga Akubali Yaishe- Front Page

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Ajenga Nyumba Ya Mil 200 Kwenye Kiwanja Cha Mwenzake, Yavunjwa-Video

Taharuki ya aina yake imetokea alfajiri ya Oktoba 16, 2021 katika eneo la Mbezi Goigi jijini Dar, baada ya nyumba...

READ MORE

Rais Samia Azungumza Na Wananchi Wa Arusha -( Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amehutubia wananchi wa Arusha katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo...

READ MORE

Rais Samia Anazindua Hospitali Ya Jiji La Arusha-Video

RAIS Samia Suluhu, leo Oktoba 17, ameendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Arusha… 

READ MORE

Mauaji! Apasuliwa Kichwa Na Kuchomwa Visu-Video

Global Tv imefunga safari mpaka mkoani Kilimanjaro na kufanya mahojiano ya kina na familia iliyokumbwa na mkasa huu mzito na...

READ MORE

Rais Samia Anaendelea Na Ziara Yake Mkoani Arusha-Video

RAIS Samia Suluhu, leo Oktoba 17, ameendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Arusha… 

READ MORE

Rais Samia Akoshwa Na Kwaya Ya Wamasai-Video

Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amehudhuria maadhimisho ya miaka 50 ya hospitali ya KCMC,...

READ MORE

Sabaya Ambusu Mchumba Wake Kabla ya Kupelekwa Gerezani – Video

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amembusu mchumba wake anayefahimika kwa jina la Jesca mara baada ya...

READ MORE

Mume Amuua Mkewe Mjamzito Wa Miezi 8-Video

Kutokea Arusha kata ya Daraja  Mbili  msichana, Hamida Seif, anadaiwa kuuliwa na Mume  aliyekuwa  akiishi  nae kwa kipigo huku akiwa ...

READ MORE

Rais Samia Azungumza na Wananchi wa Kilimanjaro – Video

RAIS Samia Suluhu, leo Oktoba 15, ameanza rasmi ziara ya kikazi mikoa ya Kaskazini, ambapo baada ya kuzindua miradi mbalimbali...

READ MORE

Rais Samia Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Daraja la Rau – Video

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi katika Daraja la Rau, linalounganisha Moshi vijijini na Moshi mjini,...

READ MORE