Idara ya Habari (MAELEZO) Zanzibar imemsimamisha kufanya kazi za uandishi Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Tanzania Daima, Talib Ussi...
READ MORENaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tulia Ackson amesema kuwa mmoja wa Wabunge wa Bunge hilo,...
READ MORERais Dkt. John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa Wanafamilia, Wabunge na Waumini wa Kanisa la Mlima wa Moto (Mikocheni...
READ MOREMCHEKESHAJI Peter Mollel maarufu kama Pierre Liquid, amebainika kuwa na maambukizi ya #COVID19 na sasa yupo Hospitali ya Amana akiendelea...
READ MOREMELINDA GATES, mke wa bilionea Bill Gates wa Marekani, ameonya kwamba iwapo dunia haitachukua hatua za haraka za kukabiliana na...
READ MOREWANAUME wawili ambao hawajafahamika majina wala Makazi wenye umri kati ya 20 – 25 wanaodhaniwa ni wezi wilayani Kahama mkoani...
READ MOREMCHUNGAJI wa Kanisa la Mlima wa Moto, Askofu Gertrude Rwakatare, amefariki dunia alfajiri ya leo ya Aprili 20, 2020, akiwa...
READ MOREPeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linamshikilia mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Pastory Majura mwenye umri wa miaka...
READ MOREWatumishi watatu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania wamefariki juzi usiku baada ya gari waliyokuwa wakitumia kwenye doria kuacha njia na...
READ MOREKuna taarifa inasambaa katika mitandao ya kijamii kuwa Evodia Kapinga amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Corona na kwamba...
READ MOREWIVU ni kidonda na ukiushiriki utakonda, ni msemo wa Waswahili ulio na maana kubwa! Hivi karibuni baadhi ya wapenzi wa...
READ MORESerikali ya awamu ya Tano imesema kuwa itaendelea kutoa kipaumbele katika kuimarisha huduma za kinga, ikiwemo elimu ya...
READ MOREWAKATI idadi ya wagonjwa walioambukizwa virusi vya corona imefi kia 147 nchini kote, habari njema ni kwamba 127 kati yao...
READ MOREBAADA ya kuwepo kwa tetesi kuwa huwenda msanii wa Bongo Fleva, Omary Mwanga ‘Marioo’ yupo mbioni kusajiliwa kwenye Lebo ya...
READ MOREWAKATI maambukizi ya Virusi vya Corona yakizidi kushika kasi nchini, Mtanzania anayeishi katika mji wa Crawley nchini Uingereza, Happy Oshea...
READ MOREKUPITIA kijana Ali unaweza kuamini misemo mbalimbali inayotumiwa na baadhi ya watu “Ukiumwa na ukapata nafasi ya kuwaona wanaoumwa basi...
READ MOREHospitali ya Taifa Muhimbili imeshona vazi maalumu (coverall) ambalo ni sehemu ya mavazi ya watoa huduma (PPE) kuvaa ili kujikinga...
READ MOREMKUU wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, Julius Mtatiro, akiwa katika ziara kwenye mipaka mbalimbali ya Tanzania na Msumbiji upande...
READ MOREHALMASHAURI ya jiji la Arusha imepanga kufunga maduka zaidi ya 400 ya wafanyabiashara iwapo watashidwa kulipa deni la sh. milion...
READ MORESERIKALI imewahakikishia Watanzania kuwa hakuna upungufu wa sukari hivyo wananchi hawapaswi kuwa na wasiwasi wa aina yoyote ile. Waziri...
READ MOREMAMLAKA ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya juzi Aprili 15, 2020, imefanikiwa kumkamata kigogo wa dawa za kulevya...
READ MOREMKAZI wa Kijiji cha Mwakitolyo Namba 2 Mkoani Shinyanga, Mussa Jackson (25) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za...
READ MORESERIKALI inatarajiwa kuajiri watumishi wapya 44,811 katika mwaka wa fedha 2020/2021. Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya...
READ MORESPIKA wa Bunge, Job Ndugai, ameiomba serikali kutolea matamko kuhusu Corona Bungeni jijini Dodoma. Aidha, Spika Ndugai amewataka wabunge kuacha...
READ MOREWizara ya Afya Zanzibar imetoa taarifa ya ongezeko la wagonjwa wapya wa corona sita nchini na kufikia wagonjwa 24 kutoka...
READ MOREMWILI wa marehemu Mzee Meshuko Ole Mapi, almaarufu Mzee Laibon, mkazi wa wilayani Monduli mkoani Arusha aliyekuwa na umri zaidi...
READ MOREMAHABUSU wawili na mfungwa mmoja wamefariki dunia wakati wakijaribu kutoroka katika gereza kuu la Butimba jijini Mwanza walipokuwa wakishikiliwa kwa...
READ MOREWAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema kuna taarifa kuwa baada ya masomo kusitishwa kwa sababu ya Covid 19 watoto...
READ MOREJamii imehimizwa kushirikiana kwa karibu na wasaidizi wa kisheria chini ili kuwalinda wasichana na ndoa za utotoni ambazo huchochea umaskini,...
READ MOREJESHI la Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya limashikilia mkazi wa mtaa wa Rebu Shuleni, mjini Tarime mkoani Mara, Marwa Mwita...
READ MOREWizara ya Afya imethibitisha uwepo wa wagonjwa wapya 29 wa COVID-19 nchini. Hadi sasa Tanzania idadi ya Wagonjwa imefikia 88...
READ MOREWAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene ameliagiza Jeshi la Polisi kumkamata na kumtia ndani Mhandisi wa Kampuni...
READ MOREAJALI mbaya imetokea mapema leo Jumatano, Aprili 15, 2020, baada ya basi la abiria mali ya Kampuni ya Kamwana’s Express...
READ MOREBAHATI nasibu inayoendelea kupitia magazeti ya Championi na Spoti Xtra imeendelea kuwa kivutio kikubwa baada ya wasomaji wa maeneo ya...
READ MOREWIZARA ya Afya Zanzibar imetangaza wagonjwa wapya sita wa virusi vya Corona na kufikisha idadi ya wagonjwa 18 kutoka 12...
READ MOREWAKATI familia mbalimbali za Kikristo duniani zikisherehekea sikukuu ya kufufuka kwa Yesu Kristo, familia ya Subira Rashid (43), mkazi wa...
READ MOREMAPEMA leo Jumatano, Aprili 15, 2020, timu ya maofisa masoko ya Global Publishershers imetembelea maeneo ya Temeke mwembeyanga na maeneo...
READ MORERAIS John Magufuli ametuma salam za rambirambi kwa ndugu, jamaa na marafiki wa watu takribani 18 waliopoteza maisha katika ajali...
READ MOREWATU 18 wamefariki na wengine 15 kujeruhiwa baada ya magari mawili kugongana katika kijiji cha Kilimahwewa Wilaya ya Mkuranga mkoani...
READ MORE