×

Habari

Mauaji Mengine ya Kutisha, Mume Amuua Mchepuko Kisha Yeye Kunywa Sumu

KATIKA hali ya kusikitisha Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Bunanzi Kulwa maarufu kama Ngosha Mkazi wa Mbagala kwa mbiku...

READ MORE

Wanafunzi HKMU Watia Fora Kwa Tafiti za Afya

  WANAFUNZI  wa udaktari wa Chuo cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU), wamepongezwa na kuzawadiwa kutokana na kufanikiwa kufanya tafiti...

READ MORE

Papa Francis aomba Radhi kwa Kuhairisha Ziara yake DRC Congo na Sudani Kusini, Apanga Kufanya Ziara hiyo haraka Iwezekanavyo

    PAPA Francis alisema Jumapili kuwa anatumai kuzuru Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Sudan Kusini haraka iwezekanavyo, baada...

READ MORE

ZIC Yajipanga Kuadhimisha Miaka 53 Kwa Mafanikio Makubwa

Kuelekea maadhimisho ya miaka 53 tangu kuanzishwa kwake, Shirika la Bima Zanzibar (ZIC), limeandaa matukio kadhaa ikiwemo kutoa msaada wa...

READ MORE

Polisi Yamsaka Raia wa China Zheng Lingyao Adaiwa Kuua Mtaa wa Kalenga, Ilala Dar

  JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamtafuta mtuhumiwa Zheng Lingyao (42), raia wa China mkazi wa...

READ MORE

Msemaji Mkuu wa Serikali Azungumza na Wanahabari Dodoma (Picha+Video)

  Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akitoa taarifa kuhusu utekelezaji wa shughuli mbalimbali...

READ MORE

Jaji Mkuu wa Kenya Ataka Rais Uhuru Kenyata Ang’olewe Madarakani Kwa Kukiuka Katiba

  Jaji Mkuu wa Kenya Martha Koome anataka mahakama ya rufaa kutangaza kwamba Rais Uhuru Kenyata amekiuka katiba ya nchi...

READ MORE

Chama, Manula Waongeza Mzuka Simba Kuelekea Michezo Mitano ya Ligi Kuu Bara

  UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa, kurejea kwa mastaa wao waliokuwa kwenye majukumu ya timu za taifa akiwemo Aishi...

READ MORE

Askari Auawa kwa Mshale Loliondo, Mkuu wa Mkoa Athibitisha(PICHA+VIDEO)

MKUU wa Mkoa wa Arusha John Mongela amethibitisha kuuawa kwa askari wa Jeshi la Polisi baada ya kupigwa mshale katika...

READ MORE

CEO wa Lebo ya Wasafi, Diamond Amfuata Zari Kenya …Soma Hapa Kujua Kilichowapeleka

  Diamond Platnumz au Simba wa Tandale; ni staa mkubwa wa muziki barani Afrika akiiwakilisha vyema Tanzania ambaye juzi alitua...

READ MORE

Mimi Mars Amkana Marioo Kuwa Mpenzi Wake, Ashikilia Msimamo Wake Kuwa ni Marafiki

  MIMI MARS; ni mrembo mtangazaji, muigizaji na msanii anayekiwasha kunako Bongo Fleva chini ya Lebo ya Mdee Music inayomilikiwa...

READ MORE

Waziri Makamba Akanusha Bei ya Umeme Kupanda, Kuchukua Hatua kwa Wanaovumisha

  Baada ya kutokea sintofahamu kwenye mitandao ya kijamii hapo jana kuhusu kupanda kwa gharama ya bei ya umeme, Waziri...

READ MORE

DC wa Masasi, Tigo Wafungua Duka Jipya Wilayani Masasi

    LINDI  Juni 10, 2022. Kampuni namba moja kwa utoaji wa huduma za Kidigitali nchini Tigo Tanzania imefungua duka...

READ MORE

Mabadiliko Makubwa Kufanyika Ndani ya Konde Music Worldwide Maarufu kama Konde Gang

Mwijaku; ni muigizaji na mtangazaji maarufu nchini Tanzania ambaye amefichua kuwa, kitendo cha Kajala Masanja kutangazwa kuwa CEO mpya wa...

READ MORE

Putin: Nchi za Magharibi Haziwezi Kususia Nishati ya Urusi Kwa Miaka Kadhaa

  RAIS wa Urusi Vladimir Putin anasema nchi za Magharibi hazitaweza kususia mafuta na gesi ya Urusi kwa miaka kadhaa....

READ MORE

Maandalizi ya Kuwahamisha Kwa hiari Wamasai wa Ngorongoro Yakamilika

Serikali ya imesema wakati wowote kuanzia sasa familia 100 za jamii ya kimasai zitawasili katika kijiji cha Msomera kilichopo Handeni...

READ MORE

Aliyedai Kununua Vidole Zimbabwe Yamkuta Mazito

Mahakama nchini Zimbabwe imemfungulia mashtaka mtu mmoja kwa kufanya mzaha kuwa alikuwa sehemu ya kundi la watu wanaonunua vidole vya...

READ MORE

Breaking News: Ole Sabaya na Wenzake Sita Waachiwa Huru Arusha, Ashinda Kesi Mbili

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha leo Juni 10, 2022 imewaachia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya...

READ MORE

Majaliwa: Hakuna Mtu Atakayeondolewa Loliondo, Wananchi Watulie – Video

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa vijijini 14 vilivyopo katika eneo la Loliondo kutulia kwasababu hakuna kazi yoyote...

READ MORE

Rais Samia Atuma Salamu za Pole kwa RC wa Iringa, Kufuatia vifo vya Watu 19 Leo Mafinga

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa mkuu wa mkoa wa...

READ MORE

Breaking: Ajali Yaua Watu 18 Mafinga Iringa, Coaster Yagongana Uso kwa Uso na Lori

Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa watu 18 wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya gari aina ya Toyota...

READ MORE

Vijana Wapigwa Msasa Kuhusu Masuala ya Amani

SHIRIKA la Global Peace Foundation Tanzania kupitia mradi wa ‘Vijana Katika Ujenzi wa Amani’ limetoa mafunzo kwa vijana wa mkoa...

READ MORE

Dk. Mollel Apongeza Uwekezaji KHEN Sekta ya Afya

  SERIKALI imepongeza uwekezaji uliofanywa na Mtandao wa Elimu ya Afya Kairuki (KHEN), kwenye sekta ya elimu ya afya kwani...

READ MORE

Ahukumiwa Miaka 20 Jela kwa Kosa la Kukutwa na Nyara za Serikali

Mahakama ya Wilaya ya Babati imemhukumu miaka 20 jela mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Vilima Vitatu wilayani humo Mashaka...

READ MORE

Rais Samia Azindua Mradi wa Maji wa Kyaka-Bunazi Mkoani Kagera

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezindua mradi wa maji wa Kyaka-Bunazi mkoani Kagera leo Juni...

READ MORE

Ambaka na Kumlawiti Mtoto (5) Mkoani Katavi Kisa Ahadi ya Kupewa Ng’ombe

KIJANA mmoja anayefahamika kwa jina la Juma Jackson (30) mkazi wa Kijiji cha Kagunga wilayani Tanganyika Mkoa wa Katavi anashikiliwa...

READ MORE

Rais Samia: Nimevutiwa Sana na Ajira Niliyoikuta Hapa Kiwanda cha Sukari – (Picha +Video)

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema amevutiwa sana na kiwango cha ajira kilichotolewa na...

READ MORE

Familia Yagoma Kuondoa Kaburi Katikati Ya Barabara, RC Kafulila Ajitosa

Familia ya Saguda Madako katika kijiji cha Nkindwabiye Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, imegoma kuhamisha kaburi linalodaiwa kuzikwa...

READ MORE

Fahamu Kiundani Sifa Kuu za Infinix Note 12 VIP, Inachaji Betri Haraka, Kamera 108MP

Infinix iko mstari wa mbele katika kutengeneza simu mahiri zinazofaa kwa watumiaji kwa kuchanganya teknolojia bora zaidi ya simu mahiri...

READ MORE

Mke Amvizia Mumewe Akiwa Usingizini, Amkaba Koo Mpaka Kumuua

Mwanamke mmoja aitwaye Maria Matheo anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Tabora kwa tuhuma za kumvizia mumewe GABRIEL NGUWA (80)...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

JIpatie nakala ya Gazeti la Spoti Xtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS...

READ MORE

Tanzania na Marekani Zajadili Ushirikiano Katika Michezo na Sanaa

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa akiambatana na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Hassan Abbasi wamekutana na...

READ MORE

Urusi: Ukraine Imepata Hasara Kubwa huko Donbas Yapoteza Wanajeshi 300, Mizinga 3

  Ukraine inakabiliwa na hasara kubwa miongoni mwa wanajeshi wake , silaha na zana za kijeshi katika eneo la mashariki...

READ MORE

Rais Samia Aongea na Wananchi wa Biharamulo Mkoani Kagera (Picha +Video)

 Leo juni 8, 2022, Rais Samia amesimama njiani Biharamulo, kuwasalimia wananchi wa eneo hilo, akiwa njiani kuelekea Kagera. ⚫️...

READ MORE

RC Mbughe Amshukuru Rais Samia kwa Kupeleka Bilioni 351 Mkoani Kagera

MKUU wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Charles Mbughe amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan...

READ MORE

Waziri Mkuu Atoa Siku Tano kwa Wizara ya Kilimo Kuondoa Pikipiki Wizarani

  WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, ametoa siku tano kuanzia leo Juni 8, 2022 hadi Juni 12, 2022 kwa Wizara ya...

READ MORE

Rais Samia: Awamu Iliyopita Kaka Yangu Magufuli Alinifundisha Mengi -Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa ziarani kuelekea mkoni Kagera amesimama katika kijiji cha Bwanga...

READ MORE

‘Airport’ ya Istanbul Ndo Kiwanja Kikubwa Zaidi Duniani

UWANJA mpya wa ndege wa Instanbul nchini Uturuki, umezinduliwa rasmi Jumatatu wiki hii, lakini hautafanya kazi kikamilifu hadi mwishoni mwa...

READ MORE