MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekifungia kwa miezi mitatu kipindi cha Efatha Ministry kinachorushwa kupitia kituo cha televisheni cha Star...
READ MOREMkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, amesema uchunguzi umebaini kuwa mshumaa uliowashwa na mateja ndio sababu ya...
READ MORESERIKALI imewaagiza wamiliki wa maduka ya dawa yaliyopo mita 500 kutoka vituo vya afya nchini kuyaondoa ifikapo Juni 30 mwaka...
READ MOREWaziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumza kwenye mkutano na watendaji wakuu wa kampuni ya mawasiliano...
READ MOREJESHI la Polisi wa Uholanzi wanasema wamempata mtu akiwa hai katika sehemu ya gurudumu la ndege iliyotua katika uwanja wa...
READ MORERais wa Burkina, Faso Roch Marc Christian Kaboré amezuiliwa katika kambi ya kijeshi, shirika la habari la Reuters limeripoti. Hatua...
READ MOREAirtel tunakushukuru sana Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Nape Nnauye kwa utayari wako na serikali wakushirikiana...
READ MORENCHI ya Norway imesema inajiandaa kuanza majaribio ya mabasi ya abiria (ya umma) ambayo hayana dereva, kuanzia mweiz Aprili, mwaka...
READ MORERais Armen Vardani Sarkissian wa Armenia ambaye ameongoza Nchi hiyo tangu 2018 amewasilisha maombi ya kujiuzulu akisema anaamini katiba ya...
READ MOREWaziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watoto wa Kitanzania kujiwekea malengo na kusoma kwa bidii ili kupata maarifa yatakayolisaidia taifa kupata...
READ MOREKampuni ya ndege ya Marekani – American Airlines iliyokuwa ikisafiri kutoka Miami kuelekea London Uingereza imelazimika kurudi ilikotoka kwasababu mmoja...
READ MOREMAPYA yaibuka! Pichani Maree Arnold (54) kutoka Australia ameamua kumbebea mimba mwanae huyo wa kumzaa Meagan (28) hivyo kumzaa mjukuu...
READ MOREJay Z na wasanii wengine, akiwemo Robin Thicke, Kelly Rowland, Meek Mill, wamejitokeza na kuomba marekebisho sheria ya New York...
READ MOREKaribu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....
READ MORETanzania Commercial Bank (TCB) imezindua tawi jipya Mkoa wa Katavi Wilaya ya Mpanda ikiwa ni jitihada za kusogeza huduma...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia amepongeza Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania (1984-1985) Dr. Salim Ahmed Salim kwa...
READ MOREAliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Brazil, Dkt. Emmanuel Nchimbi amefiwa na baba yake mzazi, John Nchimbi usiku wa kuamkia leo...
READ MOREWatu watano wa familia moja wamekutwa wakiwa wameuawa nyumbani kwao eneo la Zanka wilayani Bahi mkoani Dodoma. Kamanda wa Polisi...
READ MOREPRODUCERS wa filamu za 007 James Bond, Barbara Broccoli na Michael G. Wilson wamethibitisha kuwa Jina la Idris Elba ni...
READ MOREKIKUNDI cha Sauti ya Jamii cha Kipunguni jijini Dar, kilichopo kati ya vikundi vya taarifa na maarifa vilivyopo...
READ MORESERIKALI ya Uingereza na Shirika la Utangazaji nchini humo huenda wakaingia katika mzozo mkali mahakamani kuhusu habari ambayo BBC inataka...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amewapongeza wana Kilimanjaro kwa mapokezi yao kwake na kusema mwanzo...
READ MOREALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, amedai kuwa hakuwahi kutakatisha Sh. milioni 90 wala kutoa...
READ MOREMWALIMU mmoja aitwaye Uziel Martinez ameteka hisia za watu baada ya kuweka video zake katika mtandao wa TikTok akilia kwa...
READ MOREMWILI wa mwanamke aliyetambulika kwa jina la Teddy Mallya mkazi wa Ilboru Kisiwani, Arumeru mkoani Arusha umekutwa umetupwa kwenye shamba...
READ MOREKufuatia hali ya ukame na ukosefu wa malisho unaoukabili mkoa wa Kilimanjaro umepelekea jumla ya ng’ombe 841, kondoo 406 na...
READ MOREMwanamke mmoja amehukumiwa miaka 20 jela na baadaye kunyongwa hadi kufa na mahakama nchini Pakistani baada ya kukutwa na hatia...
READ MOREKuteuliwa kwa Dk Tulia Ackson kupeperusha bendera ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwania uspika wa Bunge la Tanzania kunahamishia vita...
READ MORETaarifa zinazozagaa kwa sasa ni kuwa Kampuni ya simu za mkononi ya itel inatarajia kuachia simu kali inayotajwa kuwa ni...
READ MOREMIILI ya wasichana watatu wa familia moja waliouawa jijini Mwanza Januari 18, 2022 imewasilia mjini Sengerema na kuzikwa jana usiku...
READ MOREAliyewahi kuwa mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge, amempongeza mbunge wa Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, kwa kuchaguliwa na Kamati...
READ MOREMkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, amewavalisha nishani maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali 123 waliotunukiwa...
READ MOREVITENDO vya rushwa ni miongoopni mwa mambo yanayopigwa vita kutokana na kurudisha nyuma maendeleo baada ya sekta na taasisi mbalimbali...
READ MOREMabiti wa kike waliokatiza masomo kwa sababu mbalimbali ikiwemo ujauzito wamerejea shuleni ikiwa ni sehemu ya mpango wa serikali wa...
READ MOREMCHUNGAJI mmoja aliyetambulika kama Curtis Keith Bankston (55) na mkewe Sophia Simm Bankston wamekamatwa na maofisa wa Polisi kwa madai...
READ MOREYAKO mambo ya kushangaza, kuchekesha na hata kuhuzunisha. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Ofisa wa Jeshi la Polisi nchini, Mrakibu...
READ MOREWaziri wa Habari na Teknolojia ya Habari Mhe. Nnauye Nape ameiagiza TCRA kuyaagiza makampuni ya simu kusitisha upandishaji wa bei...
READ MOREMAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango, amewaongoza waombolezaji kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu kaka yake Askofu Gerald...
READ MOREWaziri wa Utalii wa nchini Afrika Kusini, Lindiwe Sisulu amekana kuomba msamaha kwa rais wa nchi hiyo, Cyril Ramaphosa kwa...
READ MORE