JESHI la Polisi mkoani Mbeya limethibitisha kutokea mauaji ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapinduzi...
READ MOREIdadi ya vifo vilivyoyokana na ajali iliyohusisha gari ya wanahabari ma Toyota Hiace imefikia 15 baada ya majeruhi mmoja aliyekuwa...
READ MOREAskofu mmoja anayehusishwa na kanisa la Kianglikana jijini Nairobi ameshtakiwa kwa kumnyanyasa mwanamke mmoja kwa kumshika matiti na kujaribu kumbusu...
READ MOREUsiku wa Januari 10, 2022 baada ya Mtu mmoja ambaye hajafahamika jina mwenye umri unaokadiriwa kua miaka 30 -40 kuuawa...
READ MOREWAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amekabidhi Ofisi kwa Waziri mpya wa Kilimo Hussein Bashe huku alieleza...
READ MOREMADAKTARI 11 wamemwandikia barua ya wazi Rais wa Ghana, Nana Addo Dankwa Akufo-Addo kutoa mwongozo ikiwezekana kusitisha usambazaji wa chanjo...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Januari 12, 2022 amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika...
READ MOREMAMBO mazito yanazidi kufichuka katika tukio la mtoto wa kike anetuhumiwa kumuua mama yake mzazi aitwaye Patricia Ibreck na kufukia...
READ MOREMBUNGE wa Zamani wa Bariadi Magharibi (CCM) Andrew Chenge amejitosa katika kinyang’anyilo cha kuwania nafasi ya Spika wa Bunge la...
READ MORETaarifa ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel inasema kuwa baada ya Ibada Maalumu ya kuwaaga Marehemu wa...
READ MOREMwandishi wa Uganda anayetuhumiwa kutuma taarifa za kashfa kuhusu rais na mtoto wake wa kiume kwenye mtandao wa Twitter amefunguliwa...
READ MOREMsanii wa muziki na mtangazaji aliyekuwa anafanya kazi kwenye kituo cha East Africa TV, Mustapha Matola ‘King Sure’ amefariki dunia...
READ MOREMamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia wateja na wananchi wanaohudumiwa na mtambo wa kuzalisha...
READ MOREMamlaka nchini Burkina Faso imetangaza kukamatwa kwa wanajeshi wanane wanaotuhumiwa kupanga njama ya mapinduzi. Miongoni mwa waliokamatwa ni Kanali Mohamed...
READ MOREIKIWA hatua ya uchukuaji fomu za kuomba uteuzi wa kikiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge...
READ MOREKAMANDA wa Polisi Mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa, aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi majira ya...
READ MORESERIKALI imetoa siku saba kwa waajiri wote wanaodaiwa na waandishi wa habari waliofariki katika ajali ya gari wilayani Busega kulipa...
READ MOREWAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nauye ameliagiza Jeshi la Polisi nchini kuchambua matukio yote ya ajali...
READ MOREMWANAFUNZI mmoja aitwaye Manawa Samson Horera (22) ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa pili wa Shahada ya kwanza ya Uhasibu...
READ MOREMiili ya wanahabari na dereva wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza waliofariki katika ajali ya gari jana Januari...
READ MOREKikundi cha Komando kikipita kutoa heshima wakati wa Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika leo Januari 12,...
READ MOREWAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amekabidhi Ofisi kwa Waziri mpya wa Kilimo Hussein Bashe huku...
READ MORERubani wa Ndege ndogo iliyopata ajali na kunasa kwenye njia ya Treni amenusurika kifo baada ya kuokolewa na Polisi wa...
READ MOREWaziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye amemuhakikishia aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo ambaye kwa sasa...
READ MOREKaribu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘Front Page’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....
READ MOREMRAKIBU wa Polisi, Jumanne Malangahe, shahidi wa Jamhuri, katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
READ MOREWanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameendelea kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa kukiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya...
READ MOREMWILI wa rubani mstaafu wa Shirika la Ndege Tanzania (ATC), Kapteni Deogratius Mazula (77), umeagwa jana katika Parokia ya Bikira...
READ MORESILAHA ya jadi aina ya panga, ni moja ya vifaa vilivyokutwa katika shimo alilofukiwa mtu anayedhaniwa alikuwa muuguzi wa Hospitali...
READ MORERais Samia Suluhu amemteua Mhifadhi William Mwakilema kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa TANAPA. Kabla ya uteuzi huo alikuwa Naibu Kamishna...
READ MOREAkiyewahi kuwa Mbunge wa Arumeru Magharibi, Goodluck Ole Medeye amechukua fomu kuwania kiti cha Uspika. Ole-Medeye aliyekuwa Mbunge na Naibu...
READ MORELeo Januari 11, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anazindua kiwanda cha nguo cha BASRA...
READ MOREMWANAUME mmoja nchini Marekani amekuwa mtu wa kwanza duniani kupandikizwa moyo kutoka kwa nguruwe aliyebadilishwa vinasaba. David Bennett, mwenye...
READ MORETaarifa kamili juu ya ajali iliyohusisha waandishi wa habari Mkoa wa Mwanza. …………………………………….. Ndugu waandishi wa habari na wadau wa...
READ MORERais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kwa wanahabari na wafiwa wote kutokana na ajali iliyotokea leo...
READ MOREMBUNGE wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Kasheku ‘Msukuma’ leo Jumanne Januari 11, 2022 amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama...
READ MOREPanya shujaa wa Tanzania aliyetumika kutegua mabomu yaliyotegwa ardhini na vilipuzi -Magawa amefariki dunia mwishoni mwa wiki. Mwezi November...
READ MOREWashindi wa promosheni ya Vodacom “Show Love, Tule Shangwe” wakiwa na zawadi mara baada ya kukabidhiwa na Meneja mkakati wa...
READ MOREWATU zaidi ya 11 wamepoteza maisha wakiwemo wanahabari watano na abiria wa kawaida katika ajali iliyohusisha magari mawili ikiwa moja...
READ MOREKaribu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘Front Page’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....
READ MORE