×

Habari

Kinana Aanza Kutema Cheche CCM, Mawaziri, CCM Uso Kwa Uso, NEC Kufumuliwa Upya -Video

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini....

READ MORE

Makazi Mapya Waliohamishwa Ngorongoro Yanoga

  Wawakilishi wa wananchi walioamua kuondoka kwa hiari kutoka kata 10 kati ya kata 11 ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro...

READ MORE

SBL na WaterAid Wazindua Mradi Mpya wa Maji Safi na Salama Bassotu

    BASSOTU, Hanang. Zaidi ya wanakijiji 4000 wa Bassotu na jirani wilaya ya Hanang mkoani Manyara wamenufaika na mradi...

READ MORE

Rais Samia Awaapisha Mabalozi Wanne Ikulu Dar es Salaam, Awapangia Vituo vya Kazi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Leo Aprili 10, 2022 amewaapisha mabalozi wanne Ikulu Jijini Dar...

READ MORE

Kinana Atangaza Ziara Mikoa 11, Kuanza na Pwani, Tanga, Kilimanjaro na Arusha -Video

MAKAMU Mwenyekiti mpya wa CCM, Abdulrahman Kinana, ametangaza ziara ya kichama ya mikoa minne atakayoifanya hivi karibuni.   Kinana ametangaza...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan Aondolewa Madarakani, Alikuwa Anaipinga Marekani

Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan ameondolewa mamlakani baada ya bunge kupiga kura ya kutokuwa na imani naye. Washirika wake...

READ MORE

NBC Yaandaa Futari kwa Wateja Wake Zanzibar

Zanzibar: April 9, 2022: Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeandaa hafla ya futari kwa ajili ya wateja wake visiwani...

READ MORE

Al Barakah ya Benki ya CRDB Yawagusa RC na Sheikh Mkuu Tanga

    TANGA 9 Aprili 2022 – Huduma ya Al Barakah ya Benki ya CRDB inayozingatia misingi ya kutotoza au...

READ MORE

Sista Osinachi Mwimbaji Maarufu wa Nyimbo za Dini wa Nigeria Afariki Dunia

MWIMBAJI maarufu wa nyimbo za Injili kutoka nchini Nigeria, Sister Osinachi Nwachukwu maarufu kupitia wimbo wake wa “Ekwueme” amefariki dunia...

READ MORE

Meli Aina ya Frontier Ace Yatua Bandari ya Dar es Salaam Ikiwa na Magari 40,41

MELI ya mizigo aina ya Frontier Ace iliyobeba magari 4,041 imewasili katika Bandari ya Dar es Salaam leo April 8...

READ MORE

Rais Samia Azindua Nembo Na Tarehe Ya Sensa Ya Watu Na Makazi Ya Mwaka 2022 Zanzibar (Picha +Video)

RAIS  wa Tanzaniza, Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi nembo ya sensa na kutangaza siku ya sensa ya watu na makazi...

READ MORE

Meridianbet Tanzania Yatoa Mkono Wa Pole Kwa Familia ya Bi. Zainabu Mohamed

Ni desturi ya kampuni ya Meridianbet kurudisha kwa jamii inayoizunguka. Katika kuendeleza utamaduni huu, Meridianbet inaungana na familia ya Bi....

READ MORE

MO Green Yazindua Kiuatilifu cha Mo Strong Mkombozi kwa Zao la Pamba

    KAMPUNI ya Mo Green International Company Limited inayojihusisha na uagizaji na usambazaji wa pembejeo za kilimo imezindua kiuatilifu...

READ MORE

Royal Oven ya Yatunukiwa Cheti na TBS Utengenezaji Bora wa Vitafunwa

    KAMPUNI ya uzalishaji wa mikate na vitafunwa mbalimbali ya Royal Oven yenye makao yake makuu jijini Mwanza na...

READ MORE

Tarura Yasitisha Utozaji wa Faini za Ushuru wa Maegesho ya Magari Kuanzia Leo

Ikumbukwe kuwa mnamo tarehe 7/04/2022 Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), ilitoa taarifa ya kuanza kutoza faini kwa...

READ MORE

Video: Soko la Mchikichini Karume Lateketea, Wafanyabiashara Waangua Vilio

SOKO la Karume (soko la mchikichini) limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo Aprili 8, 2022. Imeelezwa kuwa moto huo...

READ MORE

Bella Amshukuru Rais Samia kwa Kuukubali Muziki Wake na Kumpongeza Jijini Dodoma

Christian Bella au King Of The Best Melodies; ni staa wa muziki wa Dansi nchini Tanzania ambaye amemshukuru Rais wa...

READ MORE

Tarura Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Faini Zinazotokana na Kukwepa Ushuru wa Maegesho

WAKALA wa barabara Mijini na Vijijini Tarura umetoa taarifa kwa umma kuwa umeanza rasmi kutoza faini kwa watumiaji wa maegesho...

READ MORE

Wilaya ya Ikungi Yapata Uwekezaji Mpya Wenye Thamani ya Shilingi Bilioni 3

LEO tarehe 07/04/2022 Mkuu wa wilaya ya Ikungi Jerry C. Muro amesimamia tukio la kihistoria la uwekaji saini ya makubaliano...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Kumbukizi ya Miaka 50 ya Hayati Sheikh Abeid Aman Karume (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameshiriki Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Sheikh Amani Abeid...

READ MORE

Meya wa Kinondoni na Kinamama wa Sweet Tanzania Spice Walivyochangia Damu

    MEYA wa Manispaa ya Kinondoni, Dar Songoro Mnyonge ameungana na kinamama wa wajasiriamali wa kikundi cha Sweet Tanzania...

READ MORE

Wawekezaji Wawekewe Mazingira Mazuri, Wakiondoka Itakuwa Aibu Kwetu Tanzania

WAKATI kukiwa na ongezeko la bei ya mafuta katika nchi nyingi Tanzania ikiwamo, huenda mitandao ya usafirishaji kama Uber, Bolt,...

READ MORE

Urusi Yakamilisha Kuyaondoa Majeshi Yake Kutoka Kyiv na Chernihiv, Marekani Wafunguka

Maafisa wa idara ya ulinzi ya Marekani wamesema kuwa hatua ya Urusi kujiondoa katika mikoa ya Kyiv na Chernihiv sasa...

READ MORE

Spika wa Bunge la Tanzania Ahudhuria Mazishi ya Spika wa Bunge la Uganda

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson,  ameshiriki ibada ya kitaifa ya kuaga mwili...

READ MORE

Live: Majaliwa Aja Na Mambo 8 Bajeti Mpya, Kizungumkuti Bei Ya Mafuta, Samia Azidi Kuibana MSD…

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini....

READ MORE

Moto Wateketeza Eneo la Kuhifadhia Mafuta Ghafi Kigamboni, Dar – Video

MOTO uliolipuka ghafla Jumatano Aprili 6, 2022 umeteketeza eneo la kuhifadhia mafuta ghafi linalomilikiwa na Mamlaka ya Bomba la Mafuta...

READ MORE

Tarura Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Faini za Wakwepa Kodi za Maegesho

Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) unapenda kuwataarifu wananchi kuwa umeanza rasmi kutoza faini kwa watumiaji wa maegesho...

READ MORE

DC Jokate Azindua Tawi Jipya la Tcb, Atoa Mwelekeo wa Serikali

  Benki ya Taifa ya Biashara (TCB) imeongeza uwepo wake jijini Dar es Salaam kwa kufungua tawi la 12 katika...

READ MORE

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Simon Sirro Afanya Uhamisho wa Makamanda

MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP), Simon Sirro amefanya uhamisho na mabadiliko ya baadhi ya Makamanda wa Polisi wa Mikoa...

READ MORE

Rais Samia: Serikali Kumwaga Magari ya Wagonjwa 258 Nchi Nzima

RAIS  Samia Suluhu Hassan amesema magari ya wagonjwa 233 ya kawaida yanatarajiwa kumwagwa Tanzania nzima, huku mengine 25 zenye hadhi...

READ MORE

Waamuzi Nane Kutoka Afrika Kuchezesha Mechi za Kombe la Dunia Nchini Qatar

Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limetangaza orodha ya waamuzi watakaochezesha mechi za michuano ya Kombe la Dunia inayotarajiwa kuanza Novemba...

READ MORE

Sasa Rasmi Nato Yaingilia Vita ya Ukraine, Yatuma Zana Angamizi za Kivita

  UMOJA wa kujihami wa nchi za magharibi NATO umeingilia vita kati ya Ukraine na Urusi kwa mara ya kwanza...

READ MORE

Waziri Mkuu Atoa Onyo Kwa Wafanyabiashara Wanaopandisha Bei za Bidhaa Kiholela

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasihi wazalishaji na wafanyabiashara wa bidhaa muhimu kutopandisha bei za vitu kiholela bila utaratibu na hatua...

READ MORE

Mchungaji Aanguka na Kufa Kanisani Wakati Akihubiri Kuhusu Wachawi

Tukio la kusikitisha limetokea katika Kanisa la Evangelical Winning All (ECWA) nchini Nigeria baada ya shemasi kuanguka ghafla na kufariki...

READ MORE

AXIAN Telecom na Rostam Wakamilisha Mchakato wa Kumiliki Kampuni za Mawasiliano

    MUUNGANO wa AXIAN Telecom na Rostam Aziz, leo umetangaza kukamilika kwa mchakato wa umiliki wa kampuni iliyounganishwa ya...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano, Aprili 6, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Aprili 6, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

NBC leo Yazindua Kampeni ya ‘Jaza Kibubu na NBC’

Benki ya Taifa ya Biashara NBC leo imezindua Kampeni ya ‘Jaza Kibubu na NBC’  yenye lengo la kuweza kutoa elimu...

READ MORE

Airtel Yakabidhi Gari kwa Mshindi wa Tesa Kimilionea

    KAMPUNI ya simu ya mkononi ya Airtel Tanzania leo imekabidhi gari mpya aina IST kwa mshindi wa kwanza...

READ MORE

Mbunge Musukuma Ajiuzulu Kisa Ripoti ya Mto Mara

Balozi wa Mazingira anayewakilisha Bunge, Joseph Kasheku (Musukuma) leo Jumanne Aprili 5, 2022 amejiuzulu nafasi hiyo akisema ni aibu kuwa...

READ MORE