×

Habari

Ummy Mwalimu Aagiza Wanafunzi Wasisome Wakati Wa Likizo

Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI, Ummy Mwalimu amewaagiza wakuu wa Mikoa na Wilaya kuhakikisha Wanafunzi wanapumzika wakati wa likizo Amesema ni...

READ MORE

Rais Museveni Kufanya Ziara Ya Kikazi Tanzania Leo

Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni anatarajiwa kuwasili Tanzania kwa ziara ya Kitaifa kuanzia leo Novemba 27, 2021, na atapokelewa...

READ MORE

NHIF; Uhakika wa Matibabu Kwa Wote

Huduma kwa Wateja Piga Simu Bila Malipo 0800110063 bure. Tembelea tovuti ya Mfuko www.nhif.or.tz

READ MORE

Shigongo Amaliza Kero ya Tozo Bandari ya Lushamba Kanyala

Buchosa: Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo hatimaye amemaliza kero ya tozo iliyokuwa ikilalamikiwa na wananchi wanaotuma bandari ya...

READ MORE

Waziri Majaliwa Azindua Kongamano La Kisayansi La Kitaifa Kuhusu VVU Na Ukimwi.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Kassim Majaliwa Majaliwa,leo amezindua kongamano la kisayansi la kitaifa,kuhusu VVU na Ukimwi,katika...

READ MORE

Wahukumiwa Kunyongwa Hadi Kufa

Mahakama Kuu kanda ya Iringa iliyokaa kupitia kikao chake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Njombe,imewahukumu washtakiwa wawili Mwapulise Mfikwa (29)...

READ MORE

Rais Samia Atua Dar Akitokea Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...

READ MORE

Simba Yamhamisha Kocha Hotelini, Yampa Nyumba Ushuani

SIMBA imeamua kumuondoa katika hoteli ya kisasa, kocha msaidizi wa timu hiyo, Mnyarwanda, Thierry Hitimana, na kumpangia nyumba ya kisasa...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Ujumbe Wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Uswisi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Shirika la Maendeleo...

READ MORE

Aina Mpya Ya Kirusi Cha Kovidi 19 Chaibuka Afrika Kusini

  Wanasayansi nchini Afrika Kusini wameingiwa na wasiwasi wa aina mpya ya kirusi cha corona kilichogunduliwa hivi karibuni na kinachotajwa...

READ MORE

Waziri Mkuu Afoka – “Hatutavumilia Vitendo Vyovyote Vya Ukatili”

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendeleza mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsi na haitavumilia aina yoyote ya ukatili wa...

READ MORE

Mume, Mke Wakamatwa kwa Kuwauza Watoto Wao

VIKOSI vya usalama vya vya ulinzi wa raia nchini Nigeria vimemkamata mwanaume mmoja kwa jina, Elisha Effiong, kwa madai ya...

READ MORE

Al-Shabaab Yashambulia Somalia, Wanane Wauawa

JESHI la Polisi nchini Somalia limethibitisha vifo vya raia wanane katika shambulio la bomu la kujitoa muhanga katika mji mkuu...

READ MORE

Mtoto wa Gadaffi Aenguliwa Kinyang’anyiro cha Urais Libya

MTOTO wa kiume wa aliyekuwa kiongozi wa Libya hayati Muammar Gaddafi aitwaye Saif al-Islam Gaddafi ameenguliwa katika kinyang’anyiro cha kuwania...

READ MORE

Mwalimu wa Kike Ambaka Mwanafunzi wa Kiume

Loise Martha Musyoka, mwalimu kutoka nchini Kenya Kaunti ya Nairobi wa shule ya Kayole ameshutumiwa kwa kosa la kumbaka mwanafunzi...

READ MORE

Aliyetumikia Kifungo Miaka 42 Gerezani Kimakosa Aachiwa

MMAREKANI mwenye asili ya Afrika, Kevin Strickland mwenye umri wa miaka 62 ameachiliwa huru mara baada ya kutumikia kifungo cha...

READ MORE

Zari Sikurithi Chochote Kwa Marehemu Mume Wangu

Mwanamama Zarina Hassan maarufu kama Zari the bosslady amefunguka kuwa hakuwahi kurithi chochote kutoka kwa marehemu mumewe Ivan Ssemwanga aliyefariki...

READ MORE

Mahakama Yaonyeshwa Video za Sabaya Alivyopewa Mil 90 Benki

SHAHIDI wa upande wa Jamuhuri wa kesi inayomkabili aliyekua Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita,...

READ MORE

Kili Marathon Yawataka Washiriki wa Kaskazini Kujisajili Mapema

Maandalizi ya mbio maarufu za Kilimanjaro Premium Lager Marathon ambazo zinatimiza miaka 20 tangu kanzishwa kwake, yamefikia hatua nzuri huku...

READ MORE

Vigogo TAKUKURU, UVCCM Watajwa Kesi ya Sabaya

SHAHIDI wa 10 katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita, Francis Mrosso...

READ MORE

RC Makalla: Hali ya Maji Tumuachie Mungu

Mkuu wa mkoa Dar es Salaam , Amos Makalla amekiri kwamba hali bado si shwari na kilichopo ni kuomba kudra...

READ MORE

UBA Group Visits Tanzania, Meets President Samia Suluhu at State House

  THE UBA group Chairman Dr. Tony. O. Elumelu visited Tanzania last week were he was received by the UBA...

READ MORE

Mwili wa Baba Yake Bashe Wawasili na Kuzikwa Usiku Nzega

MWILI wa Marehemu Sheikh Mohamed Bashe umepumzishwa usiku wa kuamkia leo katika Makuburi ya Waislamu Kitongo Mjini Nzega Mkoani Tabora....

READ MORE

Rc Makala Akutana Na Waliobomolewa Nyumba Zao Dar-Video

MKUU wa mkoa wa Dar, Amos Makala, leo Novemba 24, amewatembelea na kuzungumza na wahanga wa zoezi la bomoa bomoa...

READ MORE

Mazungumzo ya Aina Yake Kati ya Mkurugenzi Mkuu Anayeingia na Anayetoka

MAZUNGUMZO ya aina yake kati ya Mkurugenzi Mkuu anayeingia na anayetoka, Hisham Hendi (kulia), ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom...

READ MORE

Benki ya Exim Yatangaza Washindi wa Droo ya Kwanza ya ‘Weka Mkwanja Tukutoe!’

Dar es Salaam: Novemba 24, 2021: Benki ya Exim imetangaza washindi wa droo ya kwanza ya kampeni ya ‘Weka Mkwanja...

READ MORE

Sifa Zinazoifanya Infinix Note 11 Pro Kuwa Simu Bora ya Mwaka

Naitambulisha kwako simu yakufungia mwaka. Hii ni Kwa mujubi wa tovuti mbalimbali za tech kama Tanzaniatech, Teknokona n.k zikijaribu kutuelezea...

READ MORE

Ajioa Mwenyewe Kisa Umri Unaenda

Mwanamitindo wa Taifa la Brazil anayefahamika kwa jina la Cris Galera ambaye mwezi Septemba mwaka huu aliamua kufunga ndoa kwa...

READ MORE

Mabegi Yaliyotelekezwa yazua Taharuki Uganda

Polisi nchini Uganda wameondoa mabegi yametelekezwa mtaani katika Mji Mkuu nchi hiyo, Kampala baada ya kusababisha hofu ya mabomu mjini...

READ MORE

UNESCO Yatangaza Julai 7 Siku ya Kiswahili Duniani

Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limeitangaza rasmi tarehe 7 Julai ya kila mwaka kuwa...

READ MORE

Malawi Yamuomba Tyson Kuwa Balozi Wake wa Bangi

WIZARA ya Kilimo ya Malawi imemwandikia barua bingwa wa zamani wa ndondi duniani, Mike Tyson ikimuomba kuwa balozi wa bangi...

READ MORE

Tulia Ackson Azindua Maadhimisho Ya Siku Ya UKIMWI Duniani

Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk Tulia Ackson,ambaye pia Mbunge wa Mbeya Mjini, leo Disemba 24,amezindua...

READ MORE

Wezi Wavamia Kanisa, Waiba na Kujisaidia Kwenye Ofisi ya Mchungaji

WAKAZI wa kaunti ya Vihiga nchini Kenya wameingiwa taharuki baada ya watu wasiojulikana kuvamia Kanisa la Mumbita Church of God...

READ MORE

App Ya Uber Kutumika Kuagizia Bangi

  Kampuni maarufu ya TAXI za mtandaoni ya UBER imesema itawaruhusu Watumiaji wake wa Ontario, Canada kuagiza bangi kupitia APP...

READ MORE

Kesi ya Kina Mbowe, Inspekta Maulid Aeleza Ushahidi Wake

SHAHIDI wa nne wa upande wa mashtaka katika kesi ndogo ndani ya kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman...

READ MORE

Mapingamizi Yaghubika Kesi ya Kina Mbowe

MAHAKAMA Kuu (Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi) imetupilia mbali mapingamizi manane kati ya tisa yaliyoibuliwa na mawakili...

READ MORE

Wenye Mimba Ruksa Kurudi Shule

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amesema Wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari watakaokatisha masomo yao...

READ MORE

Serikali Yatangaza Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2022

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Tamisemi), Ummy Mwalimu leo Jumatano Novemba 24, 202 atangaza wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato...

READ MORE

Wananchi Wazua Timbwili Kituo Cha Polisi, RPC Asimulia Tukio-Video

Wananchi wa kata ya Galula wilayani Songwe Mkoani Songwe wamezingira kituo cha polisi ili kulishinikiza jeshi la Polisi Mkoani hapa...

READ MORE

Waziri Biteko Acharuka, Ampa Wiki Moja Mkuu Wa Wilaya Kuhakikisha Anafanya Haya-Video

Waziri wa madini doto biteko amemuagiza mkuu wa wilaya ya kilindi mkoani tanga kuhakikisha ndani ya wiki moja wanaanzisha kituo...

READ MORE