×

Habari

Nanai Ajiuzulu TPSF

Francis Nanai ameachia nafasi yake ya Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF) akiwa ametumikia nafasi hiyo kwa karibu...

READ MORE

Viongozi Wamlilia Dk. Mwele Malecela

KUFUATIA kifo cha Dkt. Mwele Ntuli Malecela ambaye amefariki dunia, leo Alhamisi, Februari 10, 2022, Geneva mchini Uswisi, viongozi mbalimbali...

READ MORE

TANZIA: Mwele Malecela Afariki Dunia

TAARIFA za kusikitisha zilizotufikia hivi punde, zinaeleza kuwa Dkt. Mwele Ntuli Malecela amefariki dunia, leo Alhamisi, Februari 10, 2022, Geneva...

READ MORE

Chongolo, Shaka Wamjulia Hali Prof. jay

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo (Leo) Alhamis, Februari 10, 2022 akiwa ameambatana na Katibu wa...

READ MORE

Waziri Mkuu: Unahitajika Umakini Kuigawa TANESCO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema kwamba unahitajika umakini mkubwa kama itaonekana ipo haja ya kuligawa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)....

READ MORE

Zungu Mgombea Pekee Unaibu Spika, Uchaguzi Kesho

Kwa taarifa zilizotolewa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni chama kimoja tu (CCM) ndicho kilichowasilisha jina la...

READ MORE

Kocha Afariki Baada ya Mchezaji Wake Kukosa Penati

KOCHA wa Timu ya Kingurunyembe yenye maskani yake mjini Morogoro Emanuel Peter Dihoko amefariki kwa mshtuko baada mchezaji wake kukosa...

READ MORE

TFF Yawarudisha Waamuzi Wote Darasani

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), jana Jumatano liliweka wazi kuwa limeandaa semina ya siku tatu kwawaamuzi wote wa Ligi Kuu...

READ MORE

Kubenea: Bila Rais Samia Magazeti Yangu Yasingerudi

MKUREUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Hali Halisi Publishers, Saed Kubenea, amemshukuru Rais Samia Suluhu kwa kufungua ukurasa mpya na vyombo...

READ MORE

Serikali Yafungulia Magazeti ya Mwanahalisi, Mawio, Mseto na Tanzania Daima

SERIKALI imeyafungulia rasmi magazeti manne ambayo ni Mwanahalisi, Mawio, Mseto na Tanzania Daima yaliyokuwa yamefungiwa kwa muda mrefu.   Uamuzi...

READ MORE

Rais Samia Awasili Paris Nchini Ufaransa

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili Paris nchini Ufaransa kwa ajili ya kushiriki Mkutano...

READ MORE

Airtel Money Yaja na TESA KIMILIONEA Wateja Kujishindia Mamilioni na Magari

    DAR ES SALAAM, Alhamisi 10 Februari 2022: Airtel Tanzania, ambayo ni kampuni tanzu ya Airtel Afrika na kampuni inayoongoza...

READ MORE

Spika Dkt.Tulia Akutana, Afanya Mazungumzo na Ugeni Kutoka Nmb

  (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

READ MORE

Video: Mdee Aibukia Kwa Mbowe , ACT Wafunguka Sababu Za Viongozi Kujiuzulu | Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE

Rais Samia Aondoka Kuelekea Nchini Ufaransa Leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Februari 9, 2022 ameondoka kuelekea Nchini Ufaransa na baadaye...

READ MORE

Ditopile: Rais Samia Anazidi Kuwafunga Midomo Waliombeza

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma Mhe. Mariam Ditopile amesema Rais Samia ndani ya muda mfupi madarakani anazidi kuwaumbua...

READ MORE

Mtoto Ryan Aliyeanguka Kisimani Azikwa

NCHI Morocco imemfanyia mazishi ya Kitaifa mtoto wa kiume, Rayan Oram mwenye umri wa miaka mitano aliyefariki baada ya kunasa...

READ MORE

Uchunguzi Wabaini Waziri Mkuu Alihusika Mauaji ya Rais

Wachunguzi wa mauaji ya Rais wa Haiti Jovenel Moise wamesema aliyekuwa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo ambaye kwa sasa ndiye...

READ MORE

Rais Samia Afunguka Anavyoisikia Sauti ya Magufuli

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya mzunguko...

READ MORE

Vodacom na African Child Projects Wazindua Mradi wa Kuunganisha Shule Kidijitali

    TAASISI isiyo ya kiserikali ya Vodacom Tanzania Foundation kwa kushirikiana na taasisi ya African Child Projects (ACP) wamezindua...

READ MORE

Rais Samia Amuapisha Angeline Mabula Kuwa Waziri wa Ardhi Ikulu Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemuapisha, Angeline Mabula kuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo...

READ MORE

Mwanaume Aliyevunjika Uti wa Mgongo Aanza Kutembea

MWANAMUME aliyepooza baada ya kukatika uti wa mgongo ameweza kutembea tena, kutokana na kipandikizi kilichotengenezwa na timu ya watafiti wa...

READ MORE

Uwoya Aishi Kama Wema Wa Miaka 10 Nyuma

IRENE Uwoya ni mwigizaji wa Bongo Movies na mjasiriamali; mama wa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 33, lakini bado...

READ MORE

Kilimanjaro: Nyumba 20 Zasobwa na Maji, Mmoja Afa

MVUA  kubwa zilizoambatana na upepo mkali zinazoendelea kunyesha baadhi ya maeneo ya mkoa wa Kilimanjaro, zimeezua  mapaa na kubomoa nyumba ...

READ MORE

Rais Samia Mzigoni Tena Leo Dodoma

RAIS Samia Suluhu Hassan leo Jumatano, Februari 9, 2022 ataweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya mzunguko wa...

READ MORE

Live: Makonda Kusakwa, Kesi Vigogo Polisi Ngoma Bado Mbichi, Maofisa 7 Kizimbani…Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE

DCB Yaingia Visiwani Zanzibar Kwa Kishindo

  BENKI ya Biashara ya DCB imesema imejipanga kufungua tawi la benki visiwani humo ikiwa ni kuunga mkono juhudi za...

READ MORE

Rais Samia Atoa Maagizo Kukamilisha Mfumo wa Anwani za Makazi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameshiriki katika Kikao Kazi cha Wakuu wa Mikoa Kuhusu...

READ MORE

Aliyekuwa Mgombea Uenyekiti Ajiondoa ACT

Mjumbe wa kamati kuu ya ACT Wazalendo Hamad Masoud ambaye alikuwa mgombea nafasi ya uenyekiti katika uchaguzi uliomaliza wiki iliyopita...

READ MORE

Mahakama Yaamuru Makonda Asakwe Mpaka Kolomije

Mahakama ya hakimu mkazi Wilaya ya Kinondoni imekubali maombi ya upande wa waleta maombi katika kesi namba 1 ya mwaka...

READ MORE

Polisi Wanaotuhumiwa Kuua Wafikishwa Mahakamani

Maofisa 7 wa Jeshi la Polisi mkoani Mtwara ambao wanatuhumiwa kufanya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Musa Hamis (25) wamefikishwa...

READ MORE

Watu 22 Mbaroni kwa Mauaji Mbeya

KUFUATIA kuwepo kwa wimbi la matukio ya mauaji jijini Mbeya, Jeshi la Polisi mkoani humo limewatia nguvuni watu 22 kwa...

READ MORE

Live: Rais Samia Anashiriki Kikao Kazi Cha Wakuu Wa Mikoa

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki katika Kikao Kazi cha Wakuu wa Mikoa kuhusu...

READ MORE

Kituo cha Taarifa na Maarifa Kilivyoleta Maendeleo na Kuibadili Kipunguni Kutoka Kwenye Ukatili

    IJUMAA Februari 4 mwaka huu 2022 inaweza kuwa siku ya ukombozi kwa wale waliokuwa wakifanyiwa ukatili wa kijinsia...

READ MORE

Rasi Samia Atoa Maagizo kwa Wakaguzi wa Ndani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewaagiza Wakaguzi wa ndani wa Halmashauri kufanya kazi kwa...

READ MORE

Wafanyabishara Waelekezwa Kushusha Bei ya Vifaa vya Ujenzi

Serikali imesema tathmini iliyofanyika imebaini ongezeko holela la bei ya vifaa vya ujenzi hususan saruji na nondo linasababishwa na wazalishaji...

READ MORE

Asakri: Hatukumshuhudia Mbowe Akipanga Ugaidi

INSPEKTA Tumaini Swila amedai yeye pamoja na wapelelezi wenzake hawakuwahi kumshuhudia Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akiwa katika kikao cha...

READ MORE

Sabaya: Amaliza Kujitetea

MSHITAKIWA wa kwanza katika kesi ya uhujumu uchumi, Lengai Ole Sabaya (35) amemaliza kujitetea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa...

READ MORE

Mwanafunzi Afariki, Watatu Walazwa Baada ya Choo Kuporomoka

MWANAFUNZI mmoja alifariki na wengine watatu walilazwa hospitalini baada ya choo cha shule ya upili ya Nyabondo kuporomoka. Tukio hilo...

READ MORE